Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili.

Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia

1. Nimegundua kuwa Wamasai wamebadilika sana na sasa wanaua wanyamapori kama Tembo, far na wanyama wengine

2. Nimegundua kuwa wapo baadhi ya wamasai wanaokula hadi nyama ya nyati, swala na pundamilia.

3. Nimeweka Orodha hapa ya kesi zilizopo mahakamani zinazohusiana na Ujangili. Na katika kesi hizo 85% ya watuhumiwa ni wamasai

4. Katika Orodha ya watuhumiwa wa kuua Faru, mtuhumiwa namba 9 na mtuhumiwa namba 10 katika orodha hiyo ni ndugu wa damu wa mbunge wa simanjiro Christopher Olesendeka.

Swali.
unapokuwa na ndugu zako wanatuhumiwa kwa kukamatwa na nyara za serikali, kuua faru, tembo nakadharika kama walivyofanya ndugu zake sendeka wakati ukijua wewe ni kiongozi na mtumishi wa umma,

Je tukisema ndugu zako hawa wanafanya uharifu huo kwa kufuata maelekezo ama ushawishi wako wakitegemea utawaweke kifua utakataa?
 
Attachments

Ni kama hawataki tena hizi mbuga za wanyama. Ni kama wanataka kufanya yao kwenye hizo hifadhi.

Hawakukosea kumwondoa yule waziri aliyekaa mpaka akaanza kufanana na ardhi.

Sasa yupo mtu wao, naamini msemo wao ni hawa watanzania bado wamelala hawana la kufanya.

Sawa, fanyeni yote.
 
Naquote tu sina hoja
 
Back
Top Bottom