GE2025 Ole sendeka: Kuna watu ndani ya CCM wamenuna na wanaendelea kufadhili kampeni na Propaganda kubomoa heshima ya Mgombea Urais CCM

GE2025 Ole sendeka: Kuna watu ndani ya CCM wamenuna na wanaendelea kufadhili kampeni na Propaganda kubomoa heshima ya Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewaonya vikali wanaCCM wanaoshiriki kubomoa heshima ya Nchi na heshima ya Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ya kutokuteuliwa na Chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho

Amesema baadhi ya wanachama hao, kutokana na kutoridhishwa na maamuzi ya chama, wameamua kushirikiana na watu mbalimbali kuisema vibaya Serikali na kuharibu heshima ya nchi

Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 12,2025 jijini Arusha, Ole Sendeka amesema kuwa, jina lake halikurudishwa na CCM kwa ajili ya kugombea ubunge jimboni kwake, lakini alikubaliana na maamuzi ya chama hicho. Hata hivyo, amesema wapo wana CCM ambao wamenuna na kuamua kufadhili kampeni za kuwachafua wale walioteuliwa

“Kuna watu ndani ya CCM wamenuna, na si kununa tu, wanaendelea kufadhili kampeni za kuwachafua wale walioteuliwa,” amesema Sendeka.

Aidha, amewaonya watu hao akisisitiza kuwa wanayo hiari ya kuondoka ndani ya chama hicho na kwenda chama kingine badala ya kubaki CCM na kuendelea kufadhili kampeni za uchafuzi wa viongozi.

Amesema kuna haja ya kila mwanachama kuheshimu kanuni na maadili ya chama hicho.


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Nini husababisha mtu kujipendekeza mpaka uzeeni?? Hakuweka akiba??
 
Back
Top Bottom