Ole Sendeka usipotoshe watanzania

Ole Sendeka usipotoshe watanzania

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Bwana Ole sendeka, naomba nikukumbushe haya:

1. Nyerere sio msahafu and he will never be!!!. All men are fallible, no man is infallible. Nyerere also falls within this famous philosophical statement

2. Usipotoshe, Umesema kuwa Warioba akitaka shirikisho, lazima kuwepo Tanganyika na Zanzibar ambazo, umesema Zanzibar haipo. ZANZIBAR ipo, ina katiba yake, na kila kitu cha sovereign state, bado utekelezaji, hivyo usipotoshe.

3. Tatizo unajifanya kuwa authority, while in these political issues no one is an authority, we need consensus.
 
Mkuu kama unadai kuwa "Zanzibar ni sovereign state" rudi tena darasani ukaanze upya!
Pole sana!
Na kwa upande wa Nyerere kuwa Authority sijui wewe kinachokuuma ni nini? Mtu kuwa Authority haimaanishi kuwa yeye sio infallible. Akina Isaac Newton wamekuwa Authority kwa muda mrefu, still ni fallible!
 
Punguza hasira na jazba.....Eleza taratibu.

Hao CCM wanaowaambia kuwa kuna nchi inaitwa Zanzibar wanawalea tu, wakitokea wenye uwezo wa kusema hakuna nchi inayoitwa Zanzibar mnaanza ku-panic.Kama mnataka nchi yenye mamlaka ya ki-nchi basi hawa akina Ole Sendeka ndio mngekaa nao ili wawape ufafanuzi, wana maana gani wanaposema kuwa Zanzibar si nchi?
Kuwa na bendera,wimbo na vikosi vya JKU na KMKM pamoja na katiba bado hakujatosha kuipa Zanzibar hadhi ya kuwa nchi yenye mamlaka kamili. Rejea makala mbalimbali kuhusu hili swala. Hakuna popote katika journals na publications za kimataifa ambapo Zanzibar inatambulika kama nchi yenye mamlaka kamili.

Kama mnataka nchi yenye mamlaka kamili muda wa kuidai ni sasa na sio kukumbatia bendera,katiba na wimbo wa taifa au kuwa na rais eti hiyo inawapa hadhi ya kuwa nchi.
Fungueni macho.
 
Mkuu kama unadai kuwa "Zanzibar ni sovereign state" rudi tena darasani ukaanze upya!
Pole sana!
Wenzako wazanzibari wanajua hivyo, kama unabisha jaribu basi kukumbuka wakati waziri mkuu aliposema bungeni kuwa zanzibar sio nchi, cha moto alikiona, hakukuwa na cha CUF wala CCM, Ili mradi ni mzanzibari wote waliunganza kumshambulia pinda. kwa mtazamo wako ndugu Buchanan naona labda unishauri niamini tu kama ninavyoamini mafundisho ya dini bila kuhoji, hebu fikiri kwa akili ya kawaida tu, nchi ina rais, serikali, bunge, bendera na wimbo wa taifa, halafu wana wawakilishi wao katika serikali na bunge la nchi jirani, mimi kwanza nashindwa kuelewa hawa waliopo katika bunge linaloitwa la muungano na wale walio katika baraza la wawakilishi utendaji wao wa kazi ukoje. inalazimu kuamini tu kuwa serikali mbili ndio zinalinda muungano na sio tatu wala moja.
 
Kwani wewe ukitamka sasa hivi kuwa "mimi ni Rais" ndio automatically unakuwa Rais? Of course not! Wewe hujiulizi kwa nini Wazanzibari wanadai nchi mpaka sasa? Kama wanayo nchi kwa nini wanaidai? Hayo mambo ya bendera, wimbo na bla bla nyinginezo ni decorations tu, hata Yanga na Simba wana bendera, katiba na hata wakiamua kuwa na wimbo watakuwa nao!
 
Mkuu kama unadai kuwa "Zanzibar ni sovereign state" rudi tena darasani ukaanze upya!
Pole sana!
Na kwa upande wa Nyerere kuwa Authority sijui wewe kinachokuuma ni nini? Mtu kuwa Authority haimaanishi kuwa yeye sio infallible. Akina Isaac Newton wamekuwa Authority kwa muda mrefu, still ni fallible!

Zanzibar ni sovereign nimesema bado utekelezaji tu. Wanasubiri muda ufike maana wameweka modalities zote.
Wewe hatuwezi ku-argue maana we do not have common definitions on some words and theri usages-unaunda ya kwako, nimesema nyerere sio msahafu- msahafu ndio haubadilishwi! Ya Nyerere yanabadilishwa tu. Amefanya makosa mengi watu hawayasemi kwa sababu hawana pa kuyasemea. Alikuwa mtu mwema lakini alikuwa na makosa yake makubwa tu ingawa hakuyafanya kwa nia mbaya! Hivyo hata Muungano wa serikali mbili unaweza kubadilishwa! kwa heri wewe
 
Wenzako wazanzibari wanajua hivyo, kama unabisha jaribu basi kukumbuka wakati waziri mkuu aliposema bungeni kuwa zanzibar sio nchi, cha moto alikiona, hakukuwa na cha CUF wala CCM, Ili mradi ni mzanzibari wote waliunganza kumshambulia pinda. kwa mtazamo wako ndugu Buchanan naona labda unishauri niamini tu kama ninavyoamini mafundisho ya dini bila kuhoji, hebu fikiri kwa akili ya kawaida tu, nchi ina rais, serikali, bunge, bendera na wimbo wa taifa, halafu wana wawakilishi wao katika serikali na bunge la nchi jirani, mimi kwanza nashindwa kuelewa hawa waliopo katika bunge linaloitwa la muungano na wale walio katika baraza la wawakilishi utendaji wao wa kazi ukoje. inalazimu kuamini tu kuwa serikali mbili ndio zinalinda muungano na sio tatu wala moja.

Huyu Buchanan ni CCM and always CCM do not need challenges and thinking deeply. Umemkumbusha point muhimu. Pinda alipata wakati mgumu. Modalities za sovereing state zipo tayari kwa maandishi, they are waiting time to ripe!
 
Kwa kumfanya Nyerere kuwa ni Authority ndio imekuwa "tatizo" la kimila?

La hasha,

Kabila la Kimaasai ni moja ya makabila yanayozingatia makuzi kulingana na rika...

Mtu wa rika fulani hutofautiana heshima na namna anavyochukuliwa na mtu mwingine wa rika jingine...

Kwa namna ambavyo bwana Sendeka anavyoheshimika kimila, ile hali anailazimisha kiasi anafuta heshima ile ile hata kwa watu wasio wa mila yake zaidi hadi kwenye shughuli zake za kisiasa...

Kwa mantiki hiyo anachoamini yeye anataka ndio kiwe mawazo na mamuzi ya wengine wengi...
 
Natafuta hapa nchi inayoitwa Zanzibar SIIPATI......

Africa kuna nchi mbili tu zinazoanza na herufi ''Z'' nazo ni Zambia na Zimbabwe.

Nyerere aliwapatia sana Wazanzibari, aliwaachia raisi na vyeo akawanyang'anya mamlaka ya nchi.
 
Kwani wewe ukitamka sasa hivi kuwa "mimi ni Rais" ndio automatically unakuwa Rais? Of course not! Wewe hujiulizi kwa nini Wazanzibari wanadai nchi mpaka sasa? Kama wanayo nchi kwa nini wanaidai? Hayo mambo ya bendera, wimbo na bla bla nyinginezo ni decorations tu, hata Yanga na Simba wana bendera, katiba na hata wakiamua kuwa na wimbo watakuwa nao!

Naamini kuwa lengo lilikuwa kuwa na muungano kamili, serikali mbili ilikuwa ni mpito kuelekea kwenye MOJA. Kama kwa miaka 50 tumeshindwa, kuna sababu gani ya kuendelea na kiini macho ambacho hakuna anayeweza kukitolea maelezo ya kueleweka mbele ya jamii. Wazanzibari wanalalamika kuwa wamekuwa koloni la Tanganyika, watanganyika wanalalamika kuwa wazanzibari wanawanyonya. kama tumeshindwa basi tukubali matokeo hakuna haja ya kung'ang'ania lisilowezekana.
 
Kwani wewe ukitamka sasa hivi kuwa "mimi ni Rais" ndio automatically unakuwa Rais? Of course not! Wewe hujiulizi kwa nini Wazanzibari wanadai nchi mpaka sasa? Kama wanayo nchi kwa nini wanaidai? Hayo mambo ya bendera, wimbo na bla bla nyinginezo ni decorations tu, hata Yanga na Simba wana bendera, katiba na hata wakiamua kuwa na wimbo watakuwa nao!

Hapo utaumiza kichwa, huyu jamaa analeta ubishi wa kwenye kijiwe cha kahawa pale Jaws Corner........mshauri achukue muda wake kusoma journals na publications mbalimbali na hatapata hata moja itayomwonyesha kuwa Zanzibar ni nchi yenye mamlaka.....inatajwa kama part of Tanzania.
 
Kwa kumfanya Nyerere kuwa ni Authority ndio imekuwa "tatizo" la kimila?

Nasema Nyerere sio msahafu. Sio Biblia, sio kuran, . Alikuwa na mawazo bora katika watu waliowahi tokea tanzania, lakini alifanya makosa yanayorekebishika na kukosolewa. Tusimtumie kuwa muungano aliouacha ndio super and final. Sendeka anahalalisha mawazo yake kwa vile anamuunga mkono Nyerere.
 
La hasha,

Kabila la Kimaasai ni moja ya makabila yanayozingatia makuzi kulingana na rika...

Mtu wa rika fulani hutofautiana heshima na namna anavyochukuliwa na mtu mwingine wa rika jingine...

Kwa naman aambavyo bwana Sendeka anavyoheshimika kimila, ile hali anailazimisha na kutakafuta heshima ile ile hata kwa watu wasio wa mila yake zaidi hadi kwenye shughuli zake za kisiasa...

Kwa mantiki hiyo anachoamini yeye anataka ndio kiwe mawazo na mamuzi ya wengine wengi likiwemo hili lililoletwa hapa...

Asante watu8, unaelewa mantiki yangu. Leo katika Tuongee asubuhi, Sendeka anaamini kuwa yeye ndiye final ( heshima na kuaminika kuwa anajua kila kitu kadri ya mila za rika lake kwa wamasai wenzeke anauleta kwa makabila mengine) and infallible! na kuamini kuwa Nyerere also is infallible, which is not.
 
Mkuu watu wa aina ya Sendeka huwa wana umuhimu wao katika uongozi kama ukiwatumia kwa mujibu wa muktadha wa hulka zao, ni watu wazuri sana kuwapa vyeo vinavyohitaji mtu mwenye uthubutu...

Mifano hai ya viongozi wa aina yake ni kama John Magufuli au Hayati Sokoine (isipokuwa Moringe alikuwa kidogo ana hekima)...
 
Ninapotofautiana na Sendeka kwa topic ya leo ni kumfanya Nyerere kuwa alichokisema ndio msahafu, hakuna wa kukibadilisha. Ni hapo tu. Nyerere alikuwa mwanadamu ambaye alikuwa vulnerable to make mistakes!!! Alifanya makosa ila hakuwa na nia ovu ya kufanya makosa. Sasa hayo makosa ndio yasahihishwe. Basi ndiyo argument yangu. Sendeka akubali kuwa anaweza kuwa na nia nzuri tu, lakini kukawa na makosa katika nia hiyo nzuri, lazima irekebishwe, yeye sio final.
 
Zanzibar ni sovereign nimesema bado utekelezaji tu. Wanasubiri muda ufike maana wameweka modalities zote.
Wewe hatuwezi ku-argue maana we do not have common definitions on some words and theri usages-unaunda ya kwako, nimesema nyerere sio msahafu- msahafu ndio haubadilishwi! Ya Nyerere yanabadilishwa tu. Amefanya makosa mengi watu hawayasemi kwa sababu hawana pa kuyasemea. Alikuwa mtu mwema lakini alikuwa na makosa yake makubwa tu ingawa hakuyafanya kwa nia mbaya! Hivyo hata Muungano wa serikali mbili unaweza kubadilishwa! kwa heri wewe

Duuh...ngoja tuone mazao ya hiyo mbegu mnayojaribu kuipanda....wengine yetu macho. Mkiwa Taifa huru Tanzania bara mtakuwa mnakuja kama watalii....na hizi nyumba zenu huku sijui mtamuachia nani.
 
Back
Top Bottom