Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hahahahha...No, No.. don't run away...si umeyataka mwenyewe?? Subiri umeze hivyo hivyo hata kama ni chungu utameza tu!
Kwa hili ntakuandama mpaka uache ushenzi wa kunyanyapaa watu na kudharau mila za watu nyambaff!!!
Hahaha yaani nikukimbie wewe!! tatizo ndugu yangu wewe umekosa ustaarabu kama ulishindwa kunielewa ungeuliza...
Mbona Buchanan aliuliza na nimemjibu vyema maana ya matamshi yangu, au mbona mleta mada alielewa kwa nini niliandika vile?
Isipokuwa wewe ulishindwa kuelewa kwa kuwa post yangu ya mwanzo niliiandika kwa ufupi sana na wala haikuwa na chembe ya kumdhalilisha Sendeka wala kabila zima la Maasai...
Nimeeleza umuhimu wa rika kwa Wamaasai, nimeeleza kwa nini mtu kama Sendeka ana-behave vile ukimuhisanisha na kabila lake...
Yote hayo umeshindwa kuyapitia na ukajibu kwa hoja isipokuwa umeanza kuporomosha matusi kama vile sio Great Thinker...
Je hujui kuwa hoja hujibiwa kwa hoja?