CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Bwana Ole sendeka, naomba nikukumbushe haya:
1. Nyerere sio msahafu and he will never be!!!. All men are fallible, no man is infallible. Nyerere also falls within this famous philosophical statement
2. Usipotoshe, Umesema kuwa Warioba akitaka shirikisho, lazima kuwepo Tanganyika na Zanzibar ambazo, umesema Zanzibar haipo. ZANZIBAR ipo, ina katiba yake, na kila kitu cha sovereign state, bado utekelezaji, hivyo usipotoshe.
3. Tatizo unajifanya kuwa authority, while in these political issues no one is an authority, we need consensus.
Tatizo yule mzee kaathika sana na mila za Kimaasai...
Wenzako wazanzibari wanajua hivyo, kama unabisha jaribu basi kukumbuka wakati waziri mkuu aliposema bungeni kuwa zanzibar sio nchi, cha moto alikiona, hakukuwa na cha CUF wala CCM, Ili mradi ni mzanzibari wote waliunganza kumshambulia pinda. kwa mtazamo wako ndugu Buchanan naona labda unishauri niamini tu kama ninavyoamini mafundisho ya dini bila kuhoji, hebu fikiri kwa akili ya kawaida tu, nchi ina rais, serikali, bunge, bendera na wimbo wa taifa, halafu wana wawakilishi wao katika serikali na bunge la nchi jirani, mimi kwanza nashindwa kuelewa hawa waliopo katika bunge linaloitwa la muungano na wale walio katika baraza la wawakilishi utendaji wao wa kazi ukoje. inalazimu kuamini tu kuwa serikali mbili ndio zinalinda muungano na sio tatu wala moja.Mkuu kama unadai kuwa "Zanzibar ni sovereign state" rudi tena darasani ukaanze upya!
Pole sana!
Wenzako wazanzibari wanajua hivyo, kama unabisha jaribu basi kukumbuka wakati waziri mkuu aliposema bungeni kuwa zanzibar sio nchi, cha moto alikiona, hakukuwa na cha CUF wala CCM, Ili mradi ni mzanzibari wote waliunganza kumshambulia pinda. kwa mtazamo wako ndugu Buchanan naona labda unishauri niamini tu kama ninavyoamini mafundisho ya dini bila kuhoji, hebu fikiri kwa akili ya kawaida tu, nchi ina rais, serikali, bunge, bendera na wimbo wa taifa, halafu wana wawakilishi wao katika serikali na bunge la nchi jirani, mimi kwanza nashindwa kuelewa hawa waliopo katika bunge linaloitwa la muungano na wale walio katika baraza la wawakilishi utendaji wao wa kazi ukoje. inalazimu kuamini tu kuwa serikali mbili ndio zinalinda muungano na sio tatu wala moja.
Mkuu kama unadai kuwa "Zanzibar ni sovereign state" rudi tena darasani ukaanze upya!
Pole sana!
Na kwa upande wa Nyerere kuwa Authority sijui wewe kinachokuuma ni nini? Mtu kuwa Authority haimaanishi kuwa yeye sio infallible. Akina Isaac Newton wamekuwa Authority kwa muda mrefu, still ni fallible!
Wenzako wazanzibari wanajua hivyo, kama unabisha jaribu basi kukumbuka wakati waziri mkuu aliposema bungeni kuwa zanzibar sio nchi, cha moto alikiona, hakukuwa na cha CUF wala CCM, Ili mradi ni mzanzibari wote waliunganza kumshambulia pinda. kwa mtazamo wako ndugu Buchanan naona labda unishauri niamini tu kama ninavyoamini mafundisho ya dini bila kuhoji, hebu fikiri kwa akili ya kawaida tu, nchi ina rais, serikali, bunge, bendera na wimbo wa taifa, halafu wana wawakilishi wao katika serikali na bunge la nchi jirani, mimi kwanza nashindwa kuelewa hawa waliopo katika bunge linaloitwa la muungano na wale walio katika baraza la wawakilishi utendaji wao wa kazi ukoje. inalazimu kuamini tu kuwa serikali mbili ndio zinalinda muungano na sio tatu wala moja.
Kwa kumfanya Nyerere kuwa ni Authority ndio imekuwa "tatizo" la kimila?
Kwani wewe ukitamka sasa hivi kuwa "mimi ni Rais" ndio automatically unakuwa Rais? Of course not! Wewe hujiulizi kwa nini Wazanzibari wanadai nchi mpaka sasa? Kama wanayo nchi kwa nini wanaidai? Hayo mambo ya bendera, wimbo na bla bla nyinginezo ni decorations tu, hata Yanga na Simba wana bendera, katiba na hata wakiamua kuwa na wimbo watakuwa nao!

La hasha,
Kabila la Kimaasai ni moja ya makabila yanayozingatia makuzi kulingana na rika...
Mtu wa rika fulani hutofautiana heshima na namna anavyochukuliwa na mtu mwingine wa rika jingine...
Kwa naman aambavyo bwana Sendeka anavyoheshimika kimila, ile hali anailazimisha na kutakafuta heshima ile ile hata kwa watu wasio wa mila yake zaidi hadi kwenye shughuli zake za kisiasa...
Kwa mantiki hiyo anachoamini yeye anataka ndio kiwe mawazo na mamuzi ya wengine wengi likiwemo hili lililoletwa hapa...
Asante watu8, unaelewa mantiki yangu. Leo katika Tuongee asubuhi, Sendeka anaamini kuwa yeye ndiye final ( heshima na kuaminika kuwa anajua kila kitu kadri ya mila za rika lake kwa wamasai wenzeke anauleta kwa makabila mengine) and infallible! na kuamini kuwa Nyerere also is infallible, which is not.
Mkuu watu wa aina ya Sendeka huwa wana umuhimu wao katika uongozi kama ukiwatumia kwa mujibu wa muktadha wa hulka zao, ni watu wazuri sana kuwapa vyeo vinavyohitaji mtu mwenye uthubutu...
Mifano hai ya viongozi wa aina yake ni kama John Magufuli au Hayati Sokoine (isipokuwa Moringe alikuwa kidogo ana hekima)...
Zanzibar ni sovereign nimesema bado utekelezaji tu. Wanasubiri muda ufike maana wameweka modalities zote.
Wewe hatuwezi ku-argue maana we do not have common definitions on some words and theri usages-unaunda ya kwako, nimesema nyerere sio msahafu- msahafu ndio haubadilishwi! Ya Nyerere yanabadilishwa tu. Amefanya makosa mengi watu hawayasemi kwa sababu hawana pa kuyasemea. Alikuwa mtu mwema lakini alikuwa na makosa yake makubwa tu ingawa hakuyafanya kwa nia mbaya! Hivyo hata Muungano wa serikali mbili unaweza kubadilishwa! kwa heri wewe