GE2025 Ole Sendeka: Vyama vya upinzani havina mipango madhubuti ya kisiasa, na ukosefu wa ukomavu wa kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno kutokana na kukosa sera lakini havina itikadi . Baadhi havikuwa hata na ilani ya uchaguzi", alisema.

Akitolea mfano uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024, Sendeka alisema kuwa vyama vya upinzani vilishindwa kuwasimamisha wagombea katika maeneo mengi, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilifanikiwa kusimamisha wagombea kote nchini, jambo lililochangia kukiendeleza kushika dola.

"Tatizo kubwa ni kwamba vyama hivi havina mipango madhubuti ya kisiasa, na pia vimekuwa vikionesha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa", aliongeza.

Sidhani kama yuko serious
 
Sidhani kama yuko serious
Nimemskiliza leo kule Jambo lakini alipoanza kusema ati hii tume ya uchaguzi ni huru na akawa anahoji kuwa wapinzani waliingia bungeni kwa tume hii hii nikazima na tv nikaend kwenye shughuli zangu.
 
Pa madako pake, Kuna shughuli Pasi na Ankara.!

Yaani anatolea mfano wa watu waliokuwa wanajitafuta wajipate ili wawe na eskot kwa imani

Halafu unalinganisha na jitu lenye resource na govenens access
 
Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno kutokana na kukosa sera lakini havina itikadi . Baadhi havikuwa hata na ilani ya uchaguzi", alisema.

Akitolea mfano uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024, Sendeka alisema kuwa vyama vya upinzani vilishindwa kuwasimamisha wagombea katika maeneo mengi, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilifanikiwa kusimamisha wagombea kote nchini, jambo lililochangia kukiendeleza kushika dola.

"Tatizo kubwa ni kwamba vyama hivi havina mipango madhubuti ya kisiasa, na pia vimekuwa vikionesha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa", aliongeza.

View attachment 3487626
Dugu tuliza njaa yako,ulishindwa kuwa saidia ndugu zako wakipitia unyanyasaji mkubwa kwa kuwa sehemu ya kukwamisha ile katiba mpya,ingewasaidia hadi ndugu zako,sasa wamenyoa kichwa chako,sasa sijui hata kiherehere cha nini tena.
 
Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno kutokana na kukosa sera lakini havina itikadi . Baadhi havikuwa hata na ilani ya uchaguzi", alisema.

Akitolea mfano uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024, Sendeka alisema kuwa vyama vya upinzani vilishindwa kuwasimamisha wagombea katika maeneo mengi, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilifanikiwa kusimamisha wagombea kote nchini, jambo lililochangia kukiendeleza kushika dola.

"Tatizo kubwa ni kwamba vyama hivi havina mipango madhubuti ya kisiasa, na pia vimekuwa vikionesha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa", aliongeza.

View attachment 3487626
Mfumo wa CCM Umetuletea Zao la uoga,

hata viongozi ambao hawakutendewa haki na kamati za uteuzi...wako kifua mbele kutetea ujinga! Yote hii ni kuwa wanaogopa kusimamia ukweli tuliponye taifa!

Wamekalia ngonjera za kusifu na kuabudu huku ukweli ni kuwa mioyo yao inavuja damu!
 
Huyu kaahidiwa uRC baada ya kukatwa, ndiyo maana anaongea upuuzi.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom