Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Sidhani kama yuko seriousKiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno kutokana na kukosa sera lakini havina itikadi . Baadhi havikuwa hata na ilani ya uchaguzi", alisema.
Akitolea mfano uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024, Sendeka alisema kuwa vyama vya upinzani vilishindwa kuwasimamisha wagombea katika maeneo mengi, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilifanikiwa kusimamisha wagombea kote nchini, jambo lililochangia kukiendeleza kushika dola.
"Tatizo kubwa ni kwamba vyama hivi havina mipango madhubuti ya kisiasa, na pia vimekuwa vikionesha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa", aliongeza.
Nimemskiliza leo kule Jambo lakini alipoanza kusema ati hii tume ya uchaguzi ni huru na akawa anahoji kuwa wapinzani waliingia bungeni kwa tume hii hii nikazima na tv nikaend kwenye shughuli zangu.Sidhani kama yuko serious
Dugu tuliza njaa yako,ulishindwa kuwa saidia ndugu zako wakipitia unyanyasaji mkubwa kwa kuwa sehemu ya kukwamisha ile katiba mpya,ingewasaidia hadi ndugu zako,sasa wamenyoa kichwa chako,sasa sijui hata kiherehere cha nini tena.Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno kutokana na kukosa sera lakini havina itikadi . Baadhi havikuwa hata na ilani ya uchaguzi", alisema.
Akitolea mfano uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024, Sendeka alisema kuwa vyama vya upinzani vilishindwa kuwasimamisha wagombea katika maeneo mengi, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilifanikiwa kusimamisha wagombea kote nchini, jambo lililochangia kukiendeleza kushika dola.
"Tatizo kubwa ni kwamba vyama hivi havina mipango madhubuti ya kisiasa, na pia vimekuwa vikionesha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa", aliongeza.
View attachment 3487626
Mfumo wa CCM Umetuletea Zao la uoga,Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.