Ole sio kocha , ni msimamizi wa mazoezi

Msisahau kwamba timu yoyote kupitia kipindi cha mpito haikwepeki. R,Madrid,Chelsea,Man Utd,Barca n.k

Man untd haipo katika transition yeyote ...

Kumbuka kuna kipindi Man untd Ilijaa mastaa kibao , kuanzia Di Maria , Rooney , Falcao , Mata, Herrera Ila bado ikafeli..
 
Timu nyingi England hawana uvumilivu. Liverpool kwa namna alivyoanza Klop asingekaa hadi leo. So the same should go to Ole and Lampard. Wapewe muda kujenga falsafa zao

Kama ni suala la muda aliyepaswa kupewa ni Sarri kwa upande wa chelsea maana aliikuta timu inacheza Europa, kaipa ubingwa wa Europa na ikamaliza nafasi ya 3 , Lampard amepewa timu ambayo inashiriki champions league wala haina hali mbaya kihivyo ukiacha issue ya usajili.

Upande wa Man untd , Mou ndiye aliyepaswa kupewa muda
 
Manure at ur best.
 
Lini mou alifanikiwa kumaliza nafasi ya pili na man u
 
Jamaa kama unahasira kanywe maji, ole anatengeneza timu yake ndio maana anaondoa watu wote ambao hawaendani na mfumo wake, ole hawezi kutoka United hivi karibuni
 
Et ole anatengeneza timu, punguzeni bangi bas, aliyekuwa anatengeneza timu ni Van Gaal, Ole hajui mpira na hakuna lolote analolifanya
 
olenasha hana tofauti na Athumani bilali
 
Et ole anatengeneza timu, punguzeni bangi bas, aliyekuwa anatengeneza timu ni Van Gaal, Ole hajui mpira na hakuna lolote analolifanya
Ww jamaa utakuwa hater wa manure [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Et ole anatengeneza timu, punguzeni bangi bas, aliyekuwa anatengeneza timu ni Van Gaal, Ole hajui mpira na hakuna lolote analolifanya

Maajab
 
Man Utd iko wakati mgumu sababu si kocha tu bali hadi body ya uongozi na usajili inatakiwa iundwe upya wakiwemo akina Edwood Waard watimuliwe.
 
sio kweli msimu wa huo man u alichukua europa ndio akacheza uefa ,tangu aondoke fergie man hajawahi kushika nafasi ya pili
We jamaa utakua una kipaji cha ubishi yani unaletewa hadi msimamo unakataa.
 
sio kweli msimu wa huo man u alichukua europa ndio akacheza uefa ,tangu aondoke fergie man hajawahi kushika nafasi ya pili

Una matatizo ya akili..

Nimekuwekea msimamo wa 2017/2018 bado unabisha bila kuwa na evidence ?

Hebu endelea kushabikia mdako Kama hata hili hulijui sina haja ya Kubishana na wewe
 
Una matatizo ya akili..

Nimekuwekea msimamo wa 2017/2018 bado unabisha bila kuwa na evidence ?

Hebu endelea kushabikia mdako Kama hata hili hulijui sina haja ya Kubishana na wewe
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…