Ole sio kocha , ni msimamizi wa mazoezi

Ole sio kocha , ni msimamizi wa mazoezi

hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
Wacha na mimi nijaribu kuitengeneza
20190903_123116.jpeg
 
We kijana ni tahira sana
Kwa mtindo huu wa ujinga wa vijana wa kitanzania ni bora magufuli awe anachapa viboko
Unsbishana na ukweli?
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
 
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
Wewe mbona mbishi sana?
 
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira

Una kichaa ... cha mbwa ....

Niletee msimamo wa 2017/2018 kutoka source unayoiamini
 
Timu yangu hii daah, kwa sasa Lingard ana umri wa miaka 27 lakini bado anajiona ni kinda
 
Back
Top Bottom