Ebu fanya kuuleta huo msimamo man utd awe ameongoza league tuone maufundi yakohata mimi naweza nikakuletea msimamo man anaongoza,mbona rahisi sana
Wacha na mimi nijaribu kuitengenezahata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
Nyie vijana wa shule za kata ni wajinga sana yani unabisha bila kua na evidence..hata mimi naweza nikakuletea msimamo man anaongoza,mbona rahisi sana
Wewe jamaa kweli mbishi.hata mimi naweza nikakuletea msimamo man anaongoza,mbona rahisi sana
Wewe mbona mbishi sana?hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
hata mimi naweza kutengeneza huo msimamo usio halisi ,wewe huna akili tangu fergie aondoke timu haijawahi kushika nafasi ya pili kama hujui hilo acha kushabikia mpira
[emoji23]Timu yangu hii daah, kwa sasa Lingard ana umri wa miaka 27 lakini bado anajiona ni kinda