Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!