Ole wake MO ajiuzulu,maana hapendi kuhoji 2oB.

Ole wake MO ajiuzulu,maana hapendi kuhoji 2oB.

Unacheka ki ngedele unafrah mwenyewe ,,,kwan utopolo wa meshinda goal ngap huko
We mtoto acha jazba. Imekula kwenu. Ila kajitahidi kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo
 
Mchakato kweli bado wa kuifanya simba kuwa kampuni hilo atukatai, na kwa maana hiyo simba bado ipo chini ya wanachama na wenyekiti/Rais wa simba alijiuzulu, yupo anaekaimu hapa tu kuna shidah
Pil :- MO ni Nani simba?! Na je kama mtasema ni muekezaji kawekeza wapi?
3:- simba ina faidika na nin kupitia brand ya MO extra na MO halisi
Je ipo mikataba yake?
LA mwisho Mchakato umefikia wap na kipi kipo tayar na kip bado
Maaan mim nataka niwe mmoja wa wanachama watakao nunua hisa hata Kam si shabiki wa SIMBA Bali ni haki yangu ya msing kuwekeza kokote ili mradi nisivunje sheria za nchi
 
MO huwa anapima upepo sana ila trust me mauzo ya MO yanaenda juu kupitia ads za simba naweza kusema MO anahitaji simba haswa, Ndio mana unaona anaanza kutoa Inshu za private za Minister kisa tu kahojiwa juu ya mchakato wa kumpata Madam CEO na iyo 20B, Mo amezidi kutrend na kuuza zaidi product zake zaidi after kujiingiza zaidi Simba huyo muhindi mkiamua kutulia mumbane ataweka Mpunga mana aki quit simba ata Mauzo yake ya bidhaa zake yatashuka sana
Share za METL zina fly kwa vile ya neno Mo halikauki midomoni mwa watanzania akitoka mazima simba hata Forbes utaona watamshusha
 
simba bado ipo chini ya wanachama na wenyekiti/Rais wa simba alijiuzulu, yupo anaekaimu hapa tu kuna shidah...𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐜𝐡𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐭𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐩𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐝𝐮𝐠𝐮𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐢𝐦𝐮 𝐦𝐩𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐧𝐧𝐞 𝐢𝐩𝐢𝐭𝐞

Pil :- MO ni Nani simba?! Na je kama mtasema ni muekezaji kawekeza wapi?.....𝐭𝐞𝐧𝐝𝐞𝐫 𝐢𝐥𝐢𝐨𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐜𝐡𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐦𝐮𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐚𝐥𝐢𝐞𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐭𝐞𝐧𝐝𝐞𝐫 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐤𝐮𝐭𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮, 𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐦𝐨 𝐧𝐢 𝐦𝐮𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐧𝐠𝐚𝐰𝐚 𝐭𝐚𝐫𝐚𝐭𝐢𝐛𝐮 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐳𝐢𝐣𝐚𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚

3:- simba ina faidika na nin kupitia brand ya MO extra na MO halisi
Je ipo mikataba yake?...𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐦𝐚𝐠𝐨𝐫𝐢 𝐧𝐢 𝐂𝐄𝐎 𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐦𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐨 𝐞𝐱𝐭𝐫𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐦𝐝𝐡𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐣𝐞𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐥𝐢𝐩𝐚 𝐦𝐢𝐥𝐢𝐨𝐦 250.

LA mwisho Mchakato umefikia wap na kipi kipo tayar na kip bado
Maaan mim nataka niwe mmoja wa wanachama watakao nunua hisa hata Kam si shabiki wa SIMBA Bali ni haki yangu ya msing kuwekeza kokote ili mradi nisivunje sheria za nchi...𝐩𝐚𝐥𝐞 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚𝐭𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐤𝐚𝐭𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐳𝐞𝐚 𝐮𝐦𝐦𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢 𝐤𝐢𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢 𝐛𝐚𝐝𝐨
 
MO huwa anapima upepo sana ila trust me mauzo ya MO yanaenda juu kupitia ads za simba naweza kusema MO anahitaji simba haswa, Ndio mana unaona anaanza kutoa Inshu za private za Minister kisa tu kahojiwa juu ya mchakato wa kumpata Madam CEO na iyo 20B, Mo amezidi kutrend na kuuza zaidi product zake zaidi after kujiingiza zaidi Simba huyo muhindi mkiamua kutulia mumbane ataweka Mpunga mana aki quit simba ata Mauzo yake ya bidhaa zake yatashuka sana
Share za METL zina fly kwa vile ya neno Mo halikauki midomoni mwa watanzania akitoka mazima simba hata Forbes utaona watamshusha
Akiulizwa zilipo b 20
IMG-20200906-WA0010.jpeg
 
Utopolo buku mbili fc naona mnaazisha uzi kila kikicha ili Simba igeuke vibakuli hamtafanikiwa
Mimi ni Simba,hoja ni za msingi.Mo analeta janjajanja ya nyani.Aweke hela za Simba mezani km mwanahisa.mambo mengine yafuate.
 
Mchanganuo wa 20B
Kulipa mahitaji yote ya simba ikiwa pamoja na kulipia makombe yote ya tanzania
NB: Ndio maana mechi za kimataifa mnakula 255
1.2017/2018 B4
2.2018/2019 B5
3.2019/2020 B7
Kwa hiyo hela mnayomdai mo ni B4
#panic at your own risk
 
Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!
😂😂😂
 
Back
Top Bottom