NYATUKU
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 787
- 491
We mtoto acha jazba. Imekula kwenu. Ila kajitahidi kuchukua ubingwa mara tatu mfululizoUnacheka ki ngedele unafrah mwenyewe ,,,kwan utopolo wa meshinda goal ngap huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtoto acha jazba. Imekula kwenu. Ila kajitahidi kuchukua ubingwa mara tatu mfululizoUnacheka ki ngedele unafrah mwenyewe ,,,kwan utopolo wa meshinda goal ngap huko
Usikaze matako dawa isabae vizuriWe mtoto acha jazba. Imekula kwenu. Ila kajitahidi kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo
Endeleeni kula hela ya urithi. Wakati wowote atachomoa battery huyo.Utopolo buku mbili fc naona mnaazisha uzi kila kikicha ili Simba igeuke vibakuli hamtafanikiwa
simba bado ipo chini ya wanachama na wenyekiti/Rais wa simba alijiuzulu, yupo anaekaimu hapa tu kuna shidah...𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐜𝐡𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐭𝐚𝐧𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐩𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐝𝐮𝐠𝐮𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐢𝐦𝐮 𝐦𝐩𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐧𝐧𝐞 𝐢𝐩𝐢𝐭𝐞Mchakato kweli bado wa kuifanya simba kuwa kampuni hilo atukatai, na kwa maana hiyo simba bado ipo chini ya wanachama na wenyekiti/Rais wa simba alijiuzulu, yupo anaekaimu hapa tu kuna shidah
Pil :- MO ni Nani simba?! Na je kama mtasema ni muekezaji kawekeza wapi?
3:- simba ina faidika na nin kupitia brand ya MO extra na MO halisi
Je ipo mikataba yake?
LA mwisho Mchakato umefikia wap na kipi kipo tayar na kip bado
Maaan mim nataka niwe mmoja wa wanachama watakao nunua hisa hata Kam si shabiki wa SIMBA Bali ni haki yangu ya msing kuwekeza kokote ili mradi nisivunje sheria za nchi
Akiulizwa zilipo b 20MO huwa anapima upepo sana ila trust me mauzo ya MO yanaenda juu kupitia ads za simba naweza kusema MO anahitaji simba haswa, Ndio mana unaona anaanza kutoa Inshu za private za Minister kisa tu kahojiwa juu ya mchakato wa kumpata Madam CEO na iyo 20B, Mo amezidi kutrend na kuuza zaidi product zake zaidi after kujiingiza zaidi Simba huyo muhindi mkiamua kutulia mumbane ataweka Mpunga mana aki quit simba ata Mauzo yake ya bidhaa zake yatashuka sana
Share za METL zina fly kwa vile ya neno Mo halikauki midomoni mwa watanzania akitoka mazima simba hata Forbes utaona watamshusha
Mimi ni Simba,hoja ni za msingi.Mo analeta janjajanja ya nyani.Aweke hela za Simba mezani km mwanahisa.mambo mengine yafuate.Utopolo buku mbili fc naona mnaazisha uzi kila kikicha ili Simba igeuke vibakuli hamtafanikiwa
Hebu uwe na adabu we mtt. Koma kutukana watu. Huo ni ushetwaniUsikaze matako dawa isabae vizuri
Tusi liko wapi mkuu mbona lugha nzuri tu hiyoHebu uwe na adabu we mtt. Koma kutukana watu. Huo ni ushetwani
Asante yaani miaka mitatu bado tuMimi ni Simba,hoja ni za msingi.Mo analeta janjajanja ya nyani.Aweke hela za Simba mezani km mwanahisa.mambo mengine yafuate.
😂😂😂Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!