Ole wake MO ajiuzulu,maana hapendi kuhoji 2oB.

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!
 
Kahoji kwanza team yako ya utopolo kwa nin msim unaanza bila uzi mpya!! kelele za ki ngedele ngedele peleka kwa chura wenzako
 
Izi fujo za kiutopolo ndo zinafanya simba ikaze kuchanja mbunga
 
Kujiuzulu kwake hakutuhusu, point ya msingi aweke billion 20 kwenye akaunti ya club na atambue Simba si mali binafsi bali ni mali ya Uma hata Yanga inawahusu.
 
Izi fujo za kiutopolo ndo zinafanya simba ikaze na izidi kuchanja mbunga
Ndo umeishia hapa ktk kufikiri
we umeishia wapi? Kadi ya wanachama huna afu unapuyanga tu,,,hapa
 
Izi fujo za kiutopolo ndo zinafanya simba ikaze na izidi kuchanja mbunga

we umeishia wapi? Kadi ya wanachama huna afu unapuyanga tu,,,hapa
Mbona mzee kilomoni ana kadi ya kale zaidi lakini mawazo yake yamesiginwa.
 
Mkuu, mbona kwa mwaka huwa anaweka zaidi ya 3B, sasa hizo 2oB unamaanisha 2B and "Other Business"?

Nadhani OB ni kama
1. Kubeba Mataji
2. Kufika hatua ya makundi Michuano ya Kimataifa CAf
3. Kuongeza mapato ndani ya Club
4. Kuifanya timu kujiendesha bila hasara
5. Kuongeza vyanzo vya mapato ya Club

Na mengine meengi.
 
Mbona mzee kilomoni ana kadi ya kale zaidi lakini mawazo yake yamesiginwa.
Simba ya mzee kilomon ilipiga hatua ipi?Huwezi weka pesa sehem bira kutengeneza mazingira mazuri ya kuzilinda izo pesa na hatimane faida ipatikane ko kua mpole mkuu mda ukifika izo pesa utaziona
 
Ungetupa uhalisia wa mapato yaliyokuwa ya klabu
 
Simba ya mzee kilomon ilipiga hatua ipi?Huwezi weka pesa sehem bira kutengeneza mazingira mazuri ya kuzilinda izo pesa na hatimane faida ipatikane ko kua mpole mkuu mda ukifika izo pesa utaziona
Unaingiaje ubia na watu usio waamini? Halafu pia hizo pesa hajaweka kwenye akaunti ya simba iweje a excute maamzi ya ajira wakati hata haja halalisha uwekezaji wake.?
 
Hivi hao wanaodai 20bn wanazani zitaingizwa kwenye mpesa ya mashabiki?
Punguzeni utoto twendeni tukampe 5 ihefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…