sheria ipo wazi ukibadili dini unauliwaEbu tuwekee mfano mmoja wapo wa mtu aliye katwa kichwa kwa sababu ya kubadili dini nchini Saudia arabia.
Umedanganya pakubwa sana.Nimedanganya ??
Uongo mtupu.Ukweli autoe wapi??Sasa si ameongea ukweli kama una hoja pinga basi
Huyu jamaa ni mdini na mchochezi.Hii ndo point sasa ya kumwambia mleta mada aje na vifungu vya Sheria pamoja na mifano sio kuleta matusi na kusema mchochezi,
Tatizo sio Quran, Tatizo ni jinsi inavyotafsiriwa na hizo nchi sio sawa, wao wametafsiri vibya kuhalalisha hayo mauaji,Umedanganya pakubwa sana.
Hao kadhwi wanaendeshwa na sheria za uislam hutumia reference ya sheria za Qur'an.
Qur'an inasema surah ya pili ayah ya 256 2:256 Baqrah.
Hakuna kulazimishana katika kuikubali dini.
Embu isome hapo chini.
Kwa mantiki hiyo hakuna hiyo sheria ya kumuua anayeritadi.
Hayo mataifa ulotaja mengi yana wakristu wa hizo jamii hususan Qatar,UAE na Malaysia.
Pia hata kama ingekua kweli,uislam unakushughulisha na nini broo!?
KWANI NI LAZIMA UUFUATILIE??
KUNA DINI CHAFU ZA KUJADILI KAMA HINDUISM inayomnyanyapaa mwanamke na kumchukulia dhaifu ama chombo cha starehe na inayopiga marufuku na kuua watu wanaokula ng'ombe.
Hawa kwani hawakufai wewe kuwajadili??
Unakera sana bro.
Hata kama una uhuru wa kuongea ila usichupe mipaka.
View attachment 2945255
Lete kesi hata moja ya mtu akihukumiwa kifo kwa kuritadi.sheria ipo wazi ukibadili dini unauliwa
Hivyo, waarabu wakitaka kubadili dini wanaondoka Saudi Arabia kwenda nchi zinazoheshimu uhuru wa kiimani, nchi za ulaya utawakuta waarabu waliobadili dini.
View attachment 2945266
View attachment 2945254
Lete kesi hata moja ya mtu kuchinjwa Qatar ama Saudi arabia ama Malaysia.Tatizo sio Quran, Tatizo ni jinsi inavyotafsiriwa na hizo nchi sio sawa, wao wametafsiri vibya kuhalalisha hayo mauaji,
Wao tafsiri zao ni tofauti na Tanzania tunakoweza kuvumiliana hata mtu akibadili dini.
Ili kuwe na kesi inabidi kuwe na watu wanaobadili dini hadharani,Lete kesi hata moja ya mtu akihukumiwa kifo kwa kuritadi.
Itabidi tu niku ignore itakua salama kwanguIli kuwe na kesi inabidi kuwe na watu wanaobadili dini hadharani,
Na ukibadili dini hadharani hutaweza hata kuiabudu maana kesho yake panga linakuhusu. Nani atathubutu !!
Kwa akili ya kawaida inabidi uhame nchi ili uweze kuitumikia dini, inabidi utumie akili kufanya haya maamuzi sio kukurupuka.
Kitendo cha kuanzisha mada bila kuambatanisha hivyo vigezo tiyari ni uchochezi , na pia huyo jamaa anajulikana humu kwa kuanzisha mada za uchochezi wa kidini hivyo rekod yake inamhukumu.Hii ndo point sasa ya kumwambia mleta mada aje na vifungu vya Sheria pamoja na mifano sio kuleta matusi na kusema mchochezi,
Kuna moja hapa naifatilia amepost watu kadhaa walioacha ukristo na kujiunga na uislam. Hili si ni Jambo jema kwa waislam?Huyu jamaa ni mdini na mchochezi.
Fuatilia nyuzi zake nyingi ni kuongelea uislam.
Halafu moderators wanakaa tuu pasi na kufanya kitu,nahisi mods nao watakua wana shida akilini mwao ama katika ufahamu wao.
Embu fuatilia nyuzi zake uone.
Yani anashughulishwa na uislam kuliko hata waislam wenyewe.
Ndio hili hata Mufti Shekhe Mkuu wa Tanzania alikua analiongelea moja ya kosa ni hilo la kulitadi na ikibainika Adhabu ni kifo tuMUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho
Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO
Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini zingine, dini zao za mwanzoni huziona walichaguliwa na wazazi / walezi wao wakiwa hawajitambui.
Ila sio kila sehem uhuru huu upo, katika nchi hizi ukiwa muislam ni kosa kubadili dini, ukijaribu UTAUWAWA !!
- Afghanistan
- Saudi Arabia
- Brunei / Darussalam
- Iran
- Malaysia
- Maldives
- Mauritania
- Qatar
- United Arab Emirates
- Yemen.
Hawa ni waarabu waliokimbia nchi zao kwenda kubadili dini nchi zenye uhuru, hawakubadili dini zao uarabuni kwasababu wangeuwawaItabidi tu niku ignore itakua salama kwangu
Ww si umesema kuwa Saudia imeaajili mtu wa kukata shingo wale wanao badili dini ?sheria ipo wazi ukibadili dini unauliwa
Hivyo, waarabu wakitaka kubadili dini wanaondoka Saudi Arabia kwenda nchi zinazoheshimu uhuru wa kiimani, nchi za ulaya utawakuta waarabu waliobadili dini.
View attachment 2945266
View attachment 2945254
Kazi yake ni kuwatia hofu wenye mawazo ya kubadili dini wasije kuthubutu kufanya hivyo.Ww si umesema kuwa Saudia imeaajili mtu wa kukata shingo wale wanao badili dini ?
Sasa kama hao wanao badili dini wanaondoka Saudia Arabia huyo aliye ajiliwa anafanya kazi gani?
Nahsi hata ww mkuu upo huru kuyatoa hayo mapumgifu ya dini zngine watu wakatoa ya moyon.Ebu tuwekee vifungu vya sheria za nchi hizo vinavyo sema hivyo.
Hata kama ni Kweli ww inakuhusu nn kwann unawashwa washwa na uislam kila siku?
Kwa nn usiwe unaanzaisha nyuzi za kujadili mapungufu yaliyo jaa kwenye dini yenu?