Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

Kazi yake ni kuwatia hofu wenye mawazo ya kubadili dini wasije kuthubutu kufanya hivyo.

Ni sawa na kumteka mtu unamwekea mlinzi mwenye bunduki, hio bunduki inaweza isitumike ila ina kazi ya kumtia hofu mfungwa
Hizo nchi zenye uhuru kwann ukiukashifu ushoga unafungwa jela?
 
Aliekulawiti japo ana jina la kiislam lakini ni yeye tu ameamua kukufanyia hicho kitendo cha kikatili si kama ni mafundisho ya uislam la hasha!! So punguza chuki dhidi ya uislam mkuu,, dili na huyo jamaa aliyekugonga kijambio chako,, kuanzisha nyuzi nyingi humu kila uchwao kuuponda uislam na waislam sio solution, we dili na jamaa
 
An

Nahsi hata ww mkuu upo huru kuyatoa hayo mapumgifu ya dini zngine watu wakatoa ya moyon.
Mkuu mm huo muda sina, kwa sababu dini isiyo kuwa yangu hainihusu bali ina wahusu wenye nayo na ndo wenye uwezo wa kuongelea mapungufu yake kwa sababu ndo wanao ijua.

Kitendo cha kuponda dini ya mwenzako ni kuingilia uhuru wake wa kuabudu na ni kosa kwa mujibu wa sheria.
 
Hizo nchi zote zina mpka watu wasio amini uwepo wa Mungu ,mfano mzuri saudia ,sijui hizi taarifa huwa mnatoa wap[emoji848]
 
Nihame nikose wale wanawake 72 wazuri wenye macho mazuri nikose utamu.
 
Huyu mtu wa kuachana nae , na hizi ni nasaha Kwa sisi vijana wa Kiislamu ukiona mtu yeyeye ana malengo ya kukashifu dini na mlengo wake haupo kwenye majadiliano balinkwa msukumo wa chuki kebehi ,dhihaka nk achana nae hapunguzi kitu ,ukijibu kwa mwenendo wake hakutakuwa na mwisho mwema.

Mtume Muhammad (ﷺ) alitukanwa sana na Makureishi wa Makkah pamoja na Maswahaba zake Allaah awaridhie lakini walionyesha ustahimilivu wao hatimaye Allaah akawapa ushindi.

Hauwezi kuzuia ujinga na chuki za mtu Wala kuControl uislamu usisemwe vibaya unasemwa kila siku ugaidi nk lakini watu hawapungui bali wanaongezeka .Ukikutana vijana kama wakina Maghayo The Barbaic Mongol na wenzake njia ni mbili ni Kupuuza usisome au kusoma Kisha kustahimili na kumpuuza bila kujiingiza kwenye majadiliano ambayo hayana tija.
 
Safi sana hao, wanaifata amri ya Biblia.

Biblia Kumbukumbu la Torati:
6 Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;
7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
 
Hivi ww jamaa hunaga kazi nyingine zaidi ya kushinda humu una piga poroja dhidi ya Uislam ambao huwezi kuufanya wala kuupunguzia chochote?
Kama hapunguzi wala kuongeza mbona umeachia futari kuja kumjibu kaka???
 
Ukiona dini inataka sana msihame kuna shida….
Mungu mwenyewe kamuacha shetani ili binadamu awe na uhuru wa kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…