Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kuna watu nyau sana, kama ushahidi ni wa ukweli na haki, kwanini mashaidi wafichwe?Ushuhuda wa uongo ni miongoni.mwa madhambi makubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.
Miongoni mwa Amri 10 za Mungu ni kuwa usimshuhudie mtu uongo.
Sasa ole wao wanaopanga kuwashuhudia wenzao uongo, mbele ya mahakimu, hao ni watu wanaovunja amri za Mwenyezi Mungu waziwazi kwa ajili ya maslahi machache ya duniani.
Niwakumbushe tu kuwa zile Amri 10 ziliandikwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, Kuzivunja kwa makusudi kwa sababu ya vyeo vya duniani au fedha ni kujitafutia matatizo.
Wanaopanga kushuhudia wenzenu uongo acheni, halina mwisho mwema hilo!
Ushuhuda wa uongo ni miongoni.mwa madhambi makubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.
Miongoni mwa Amri 10 za Mungu ni kuwa usimshuhudie mtu uongo.
Sasa ole wao wanaopanga kuwashuhudia wenzao uongo, mbele ya mahakimu, hao ni watu wanaovunja amri za Mwenyezi Mungu waziwazi kwa ajili ya maslahi machache ya duniani.
Niwakumbushe tu kuwa zile Amri 10 ziliandikwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, Kuzivunja kwa makusudi kwa sababu ya vyeo vya duniani au fedha ni kujitafutia matatizo.
Wanaopanga kushuhudia wenzenu uongo acheni, halina mwisho mwema hilo!
Uongozi wa CDM uagize haraka kifaa ambacho sitakitaja jina kinachoweza kubaini utambulisho wa mtu anayeongea akiwa amefichwa sura, jina na anwani ya makazi kikosupported na satelaiti ili njama za serikali kuleta mashahidi wa mchongo kije kiwaumbue.Hata wawafiche vipi, hao mashetani waliotengenezwa kwenda kushuhudia uwongo, Watanzania tutawafahamu, na majina yao yatawejwa wazi.