Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
"Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue "
Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine.
Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio mwisho wakuniona hapa jukwaani.
"Nasema Ole Ole Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba, Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu"