Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

Mmoja yuko shule anajiandaa kwenda malawi na mwingine namwonaga maenea ya ubungo msewe na vits yake mbovu mbovu kila siku kutuazima wire wa kubustia betri
Hahahaha ana vits mbovu bwana Bashiru ally kakurwa
 
Sijakuelewa vizuri mtoa mada, unamaanisha kwamba Membe na Kinana wana mikia kama ya mifupi kama ya mbuzi?
Nchi hii ukiwa chama kile unaweza kuwa na mkia mfupi, lakini kamba ndefu.

Hapo unakula na kubweda tu...
 
Alikuwa katibu mkuu wa chama gani??
Toka lini mamluki akawa mpiganaji wa jeshi la taifa husika kwa utaifa wakati kakodishwa? Uteuzi wake ndo hizo zilikuwa tactical blunder za aMagufuli kwa roho mbaya zake. Sasa wenye chama chao unaona wanakirudisha kwenye mstari. Tegemea kilio kwa wabunge wengi wa Magufuli kwa vimemo vya kupita bila kupingwa.
 
Swali langu umelielewa??
 
Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA

Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi.

"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.Yeremia 17:5"
Yan tofauti na Magufutu, sasa hivi you get killed softly
 
Back
Top Bottom