Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

Mmoja yuko shule anajiandaa kwenda malawi na mwingine namwonaga maenea ya ubungo msewe na vits yake mbovu mbovu kila siku kutuazima wire wa kubustia betri
Hahahaha ana vits mbovu bwana Bashiru ally kakurwa
 
Sijakuelewa vizuri mtoa mada, unamaanisha kwamba Membe na Kinana wana mikia kama ya mifupi kama ya mbuzi?
Nchi hii ukiwa chama kile unaweza kuwa na mkia mfupi, lakini kamba ndefu.

Hapo unakula na kubweda tu...
 
Salamander tail cannot be uprooted
 
Alikuwa katibu mkuu wa chama gani??
Toka lini mamluki akawa mpiganaji wa jeshi la taifa husika kwa utaifa wakati kakodishwa? Uteuzi wake ndo hizo zilikuwa tactical blunder za aMagufuli kwa roho mbaya zake. Sasa wenye chama chao unaona wanakirudisha kwenye mstari. Tegemea kilio kwa wabunge wengi wa Magufuli kwa vimemo vya kupita bila kupingwa.
 
Swali langu umelielewa??
 
Yan tofauti na Magufutu, sasa hivi you get killed softly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…