Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Mkuu nakuheshimu sana sijawahi kukukisea heshima,mbona wewe hivyo

Turudi kwenye topic
Mbona naona waliojitokeza hata elfu moja hawafiki mkuu,hao ndo watamweka mwamba lissu madarakani?View attachment 1518871
Kama unafikiria utajua kuwa :-
Kura zinapigwa nchi nzima siyo na wapokeaji pekee,, lakini kushangaa uwingi wa watu walioenda uwanjani yakupasa ukumbuke kuwa mkwara wa polisi umesaidia sana.(na huu mkwara umesaidia pia usalam) kwa kupunguza tena kwa kiasi kikubwa idadi ya wapokeaji.
Kama unafikiria utajua lakini ukiacha kufikiria ni vice versa.
 
Nani kakwambia magufuli anashinda mwaka huu???

Liwake jua inyeshe mvua Tundu Lissu anaenda kumgaragaza vibaya magufuli hapo October mwaka huu. Watu wengi hawataamini ila huu ndo ukweli
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Inasikitisha sana
 
Mkuu nakuheshimu sana sijawahi kukukisea heshima,mbona wewe hivyo

Turudi kwenye topic
Mbona naona waliojitokeza hata elfu moja hawafiki mkuu,hao ndo watamweka mwamba lissu madarakani?View attachment 1518871
Mnavyowaita Chadema nyumbu unafikiri wanafurahia? Jina hilo la maudhi nimewalalamiakia mods nao wameuchuna hivyo na sisi kuwaita CCM nguruwe ni sawa tu.
 
Acha ushamba jombaa, mambo gani ya kutishana
 
pum....vu
 
Mikwala ya kunguru wewe mbuzi
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi

Jikaze [emoji4][emoji4]

Imeandikwa:

“ mwambieni Mungu matendo yako yatisha kama nini “

[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Inauma sana najua ulitamani iwe hivyo lakini kwa sasa dar es salaam RC aliyepo uelewa wake ni mkubwa sana zaidi ya yule bashite,Amani ilidumishwa kwa 100% na polisi walikuwepo kuisimamia,hakuna hata mmoja aliye vunjika kidole seuze miguu.....lakini pia wao walikuwa wanampokea mpendwa wao aliye nusurika kifo(mwenyezi mungu endekea kumlinda) na nyie mlikuwa mnaomboleza mpendwa wenu aliyekatishwa uai wake na izraeli(mwenyezi mungu mpokee katika ufalme wako)
 
Lissu ameingia Tz,Mkapa ni R.i.p,Bashite hana cheo cha ukuu wa mkoa,Membe karudisha kadi ya CCM na kujiunga na Upinzani ! hapa ni moto chini
Kwa hatua waliyofikia watanzania hamuwezi fanya lolote. Mlifanya makosa sana kumpiga risasi mkifikiri mmemmaliza. Haya ndo matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili.

Pambaneni na Lissu mliyemjenga wenyewe. Na si utani huyu mtu anapendwa kweli
 
We mbona umeshindwa kumchakaza mke wako....?
 
Marehemu aliitaga huu upumbav
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Wewe si mwalimu wa shule ya msingi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…