Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Ndio kina nyie mkitoka hapo mnahubiri umoja wa kitaifa!!! Amani na upendo!!!
Je hawakuusikiliza ushauri wako nini kimetokea?
Acheni unafiki Tanzania ni ya Watanzania si hakimiliki ya wachumia matumbo wanaojipendekeza ili maisha yao yaende hata kwa kuumiza wananchi.
 


Kizazi cha Watu wajinga aina yako nchi hii ndio kinamalizia muda wake. Kawatishe wa nyumbani kwako na hayo maneno. Tanzania ilishabadilika mno sema wewe huna habari.

Umetia ganzi ubongo wako na kupaka akili yako pilipili ili usiwaze kama binadamu bali kama pimbi ukidhani wanaosoma hapa ni low IQ kama wewe.

Think again...
 
Unapumuliwa
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Mkwara wa mende akiwa juu ya mkate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…