Ole wenu Simba, asema ole wenu. Kama mmemteka huyu mchezaji tutalaumiana

Ole wenu Simba, asema ole wenu. Kama mmemteka huyu mchezaji tutalaumiana

Nyinyi ndio makuwadi wetu, hela huna halafu unataka mademu wazuri. Mishahara mpaka mpitishe bakuli, mchezaji gani wa kimataifa atakaa hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
hihihi
simbamedialive-___CD6mK3AgblG___-.jpg

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi ndio makuwadi wetu, hela huna halafu unataka mademu wazuri. Mishahara mpaka mpitishe bakuli, mchezaji gani wa kimataifa atakaa hapo?
Yikpe Tena ilitokea Bahati mbaya tu alipoachwa na bendi ya grand mopao...ikabidi utopolo fc imsajili Kama mchezaji wakati alikua mpiga drums
 
Manji alikuwa mzigua?Mlipokuwa mnachukua wachezaji wa Simba.Mbuyi Twite,Yondani,Chuji,Said Maulid ilikuwa poa sio?Ulilalamika???
Karma is a bitch and does not miss an adress.
Said Maulid enzi za Manji?
 
hasa kwenye swala la Morison naona limeleta uhasama mkubwa sana. hasa upande wa Yanga ni kama wamepokonywa timu nzima
Yanga hatuhmii hata kidogo na kuondoka kwa Morrison Bali namna alivyoondoka huku viongozi wetu wakiendelea kusisitiza kwamba mchezaji alisaini mkataba mpya. Na hata ile kamati ya tff ilikubali hilo licha ya mapungufu waliyosema
 
Morrison sio fala,anajua alichokifanya. Hiyo imani na viongozi wako unaitoa wapi? kama walisema wamempa Papy mkataba, wana mazungumzo na Chama
 
Yanga hatuhmii hata kidogo na kuondoka kwa Morrison Bali namna alivyoondoka huku viongozi wetu wakiendelea kusisitiza kwamba mchezaji alisaini mkataba mpya. Na hata ile kamati ya tff ilikubali hilo licha ya mapungufu waliyosema
Vipi kauli ya viongozi wenu kuhusu mkataba mpya wa Shishimbi?
 
Kitu ambacho Wana Yanga hatuelewi ni kwamba hatuwezi sisi kushindana na Simba kwa sasa hata kidogo. Maana wao tayari mwekezaji anamkataba wa kufanya hivyo pesa yake ipo salama kabisa. Sisi tunalingia GSM ambao kiuhalisia hata Manji hawamfikii kuisapoti Yanga kifedha.
Waongo na majigambo ambayo hayana Friday yoyote kabisa. Kauli zao za mwanzo kuwa hakuna mchezaji atakeyetakiwa na Yanga lazima aje.
Lakini leo hii hata Sure boy wa azamu amewashinda kuvunja mkataba u apeleka offer ya 20 milioni. Upo serous kweli.
Kwa hiyo wana Yanga tubule kabisa. Niliwaambia mapema sana mwenyekiti sahihi wa Yanga alikuwa Dk Jonas Tiboroha. Wengine hawa hawana kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Said Maulid enzi za Manji?
Hoja yangu ya msingi hapo ilikuwa wahindi wanaharibu mpira. Nikauliza Manji ni mzigua??Uonevu mliokuwa mnafanya chini ya TFF ya Malinzi ulikuwa unalalama haki haitendeki?
Karma is a bitch and it does not miss an adress
 
Nasema hivi, haya maneno kuwa mmemteka Larry Bwalya kama ni kweli ntawafanyia jambo baya sana Simba. Baya sana. Kweli nawaambia ntawafanyia jambo ambalo babu yangu aliwafanyia waliomuibia ng'ombe wake mwwka 1984..

Muombee ziwe tetesi tu hivyo hivyo.tutaonana wabaya. Nyie si mna wachezaji wazuri?kwa nini muhangaike na wachezaji tunaopoint sisi? Huo ushenzi sisi hatutaki. Na safari hii tutafikishana mbali wallah nawaambia.

Mmeshatuumiza kwa yule dogo mwendawazimu BM. Mmetuumiza sana.Siyo kidogo hatutaki tena uhuni.

GSM tumwangalie sana Senzo. Mimi simwamini anaweza akawa ametumwa.

H#$&@$-$+@&#$_+@*;"!_$(_'!$)_+";":$+___!'_+$&#)$'!":#-#($_;#($-$@:+);:[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji36][emoji36][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959]
Na tutaendelea kupiga hapo hapo kwenye mshono
 
Back
Top Bottom