Utazuiaje debe tupu kupiga makelele wakati ndio asili yao. Ngebe FC.Bisha mpaka ufe ipo kwenye katiba.Tatizo mnapiga sana kelele usajili unatakiwa uwe kimya kimya hata kama sio simba mkipiga mikelele timu zenye interst na mchezaji zinamchukua
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Nyinyi ndio makuwadi wetu, hela huna halafu unataka mademu wazuri. Mishahara mpaka mpitishe bakuli, mchezaji gani wa kimataifa atakaa hapo?
Mmh kama huna hela kweli unanyanyasika na kuteseka vibaya mno
... wakati GSM mwenyewe yupo pale kibiashara zaidi, ila ni msomali mwekundu kabisaGSM tumwangalie sana Senzo. Mimi simwamini anaweza akawa ametumwa.
Yikpe Tena ilitokea Bahati mbaya tu alipoachwa na bendi ya grand mopao...ikabidi utopolo fc imsajili Kama mchezaji wakati alikua mpiga drumsNyinyi ndio makuwadi wetu, hela huna halafu unataka mademu wazuri. Mishahara mpaka mpitishe bakuli, mchezaji gani wa kimataifa atakaa hapo?
Wadosi hawa buana.
Said Maulid enzi za Manji?Manji alikuwa mzigua?Mlipokuwa mnachukua wachezaji wa Simba.Mbuyi Twite,Yondani,Chuji,Said Maulid ilikuwa poa sio?Ulilalamika???
Karma is a bitch and does not miss an adress.
Yanga hatuhmii hata kidogo na kuondoka kwa Morrison Bali namna alivyoondoka huku viongozi wetu wakiendelea kusisitiza kwamba mchezaji alisaini mkataba mpya. Na hata ile kamati ya tff ilikubali hilo licha ya mapungufu waliyosemahasa kwenye swala la Morison naona limeleta uhasama mkubwa sana. hasa upande wa Yanga ni kama wamepokonywa timu nzima
Morrison sio fala,anajua alichokifanya. Hiyo imani na viongozi wako unaitoa wapi? kama walisema wamempa Papy mkataba, wana mazungumzo na ChamaYanga hatuhmii hata kidogo na kuondoka kwa Morrison Bali namna alivyoondoka huku viongozi wetu wakiendelea kusisitiza kwamba mchezaji alisaini mkataba mpya. Na hata ile kamati ya tff ilikubali hilo licha ya mapungufu waliyosema
Acha mambo yako ww kama hujui mpira tuliaNatabiri hizi timu hazitaishia kwenye utani wa jadi Bali baadaye itakuwa ni uadui mkubwa sana, mpaka kufikia hatua mbaya sana , kama kuna mwenye namna ajaribu kurudisha mambo sawa.
Vipi kauli ya viongozi wenu kuhusu mkataba mpya wa Shishimbi?Yanga hatuhmii hata kidogo na kuondoka kwa Morrison Bali namna alivyoondoka huku viongozi wetu wakiendelea kusisitiza kwamba mchezaji alisaini mkataba mpya. Na hata ile kamati ya tff ilikubali hilo licha ya mapungufu waliyosema
Hoja yangu ya msingi hapo ilikuwa wahindi wanaharibu mpira. Nikauliza Manji ni mzigua??Uonevu mliokuwa mnafanya chini ya TFF ya Malinzi ulikuwa unalalama haki haitendeki?Said Maulid enzi za Manji?
Na tutaendelea kupiga hapo hapo kwenye mshonoNasema hivi, haya maneno kuwa mmemteka Larry Bwalya kama ni kweli ntawafanyia jambo baya sana Simba. Baya sana. Kweli nawaambia ntawafanyia jambo ambalo babu yangu aliwafanyia waliomuibia ng'ombe wake mwwka 1984..
Muombee ziwe tetesi tu hivyo hivyo.tutaonana wabaya. Nyie si mna wachezaji wazuri?kwa nini muhangaike na wachezaji tunaopoint sisi? Huo ushenzi sisi hatutaki. Na safari hii tutafikishana mbali wallah nawaambia.
Mmeshatuumiza kwa yule dogo mwendawazimu BM. Mmetuumiza sana.Siyo kidogo hatutaki tena uhuni.
GSM tumwangalie sana Senzo. Mimi simwamini anaweza akawa ametumwa.
H#$&@$-$+@&#$_+@*;"!_$(_'!$)_+";":$+___!'_+$&#)$'!":#-#($_;#($-$@:+);:[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji36][emoji36][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959]