King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kesi ya uhaini haina dhamana ,imekuwaje wamemuachia? Au DPP alisema hana nia ya kuendelea na kesi?Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu .
Hasira ya Wananchi Iko juu sana.
Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti .
Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
Heche hawezi kuingia kwenye maridhiano hata kidogo.