BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Ole wenu wazee wa CCM.
Ole wenu Mmemchunia Jamaa ana-fight peke yake na Mkewe na Wanawe,
Ole wenu akishinda Kiti cha Enzi.
Ole wenu na yeye atakavyowachunia kwa staili ya "Si Mlinichunia? Sasa Mtakoma!"
Ole wenu miaka mitano ijayo itakavyokuwa michungu kwenu.
Ole wenu atakavyopitisha muswada wa kupunguza ama kufuta kabisa marupurupu yenu ya Uraisi na Uwaziri Mkuu Mstaafu wenu!
Salama yenu ni Moja tu.
Mpeni Dr Slaa kura zetu.