Elections 2010 Ole wenu wazee wa CCM!

Elections 2010 Ole wenu wazee wa CCM!

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,122
Reaction score
4,060
Ole wenu wazee wa CCM.
Ole wenu Mmemchunia Jamaa ana-fight peke yake na Mkewe na Wanawe,
Ole wenu akishinda Kiti cha Enzi.
Ole wenu na yeye atakavyowachunia kwa staili ya "Si Mlinichunia? Sasa Mtakoma!"
Ole wenu miaka mitano ijayo itakavyokuwa michungu kwenu.
Ole wenu atakavyopitisha muswada wa kupunguza ama kufuta kabisa marupurupu yenu ya Uraisi na Uwaziri Mkuu Mstaafu wenu!

Salama yenu ni Moja tu.
Mpeni Dr Slaa kura zetu.
 
Na JK akifanikiwa kuingia madarakani kwa kuiba kura hawa wazee wajiandae kwa visasi.
Manake moja kati ya sifa za uyu Mkuu ni kulimbikiza visasi kama vipolo
 
Pole zao na Dr. Slaa akichukua Mwendo ule ule... Kata hayo Marupurupu nadhani wengi wao Wameshiba Mzee Mwinyi, Lowassa wametosheka
 
Na JK akifanikiwa kuingia madarakani kwa kuiba kura hawa wazee wajiandae kwa visasi.
Manake moja kati ya sifa za uyu Mkuu ni kulimbikiza visasi kama vipolo

Natamani kusikia visasi vyake,nasikia akina babu seya na liyumba nao ni visasi vyake kukaa jela ?siwajui vizuri hivi hawa jamaa wanagombea uraisi wa nchi gani kwa tiketi ya vyama gani ?
 
The problem ni pale aliposema urais ni mali ya familia hatujasahau eti kwa hiyo ikabidi wazee wakae pembeni wakiangalia baba na mwana na mama utatu mtakatifu wanavyocheza.
 
Back
Top Bottom