Mkuu sayansi ya wapi hiyo Lucifer ashuke kutoka wapiKwa binadamu alivovurugwa nakwambia huyo saitan akajaribu tu kushuka kipigo atakachokutana nacho sio cha dunia hii. Shetani mwenyewe alishaogopa kushuka coz anaweza hata akapididiwa na binadamu kwani walisha vurugwa na maisha afu ajilete na swag za kilucifer.