Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Mama anaupiga mwingi sana hadi unamwagika.
View: https://youtu.be/lUB1gueJd2w?si=8IFVhZ-efrOdPYfbKwa maelezo haya hakuna tena tatizo la kujua what happened?
Hao ni Uvccm ndiyo wamefanya hilo shambulio hawawezi kuguswa wanamfurahisha Mzanzibari.Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Hii serikali irajivua lawama.
View: https://youtu.be/lUB1gueJd2w?si=8IFVhZ-efrOdPYfbKwa maelezo haya hakuna tena tatizo la kujua what happened?
Watu wako MzeeAiseee
Kanisa limepigwa tukio. Walaka umejibiwa kibabeKumshambulia katibu wa baraza la maaskofu ni sawa na kulishambulia baraza lenyewe.
Serikali ipi..?Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
PointWatanzania wengine ndo mnatupwa huko mtoni na porini.
Kumshambulia katibu wa baraza la maaskofu ni sawa na kulishambulia baraza lenyewe.
Ni sawa na kujaribu kuiba nyaraka za maaskofu na kanisa katoliki.
Ni sawa na kufifisha jitihada za kanisa kufanya kazi zake za uinjilishaji kwa makusudi.
Ni sawa na kuliambia kanisa tunaweza kuwaua nyinyi viongozi.
Ni sawa na kuwatisha waamini wa kikatoliki
Ni sawa na kuwatisha wapigania haki wote.
Hao watu watakuwa wametumwa na Chama Cha Majambazi!Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la kantini wakatoka watu wa wili ambao walikuwa wanakula katika eneo la kantini, wakaenda kumshambulia kwa vitu vizito ndani ya choo. Amesema Olengurumwa
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
View attachment 3322150
Kumbe alikuwa chakari πππKila mtu abebe msalaba wake
Kitima na mikwara yote ile kumbe anakua chakari
Hii imekanushwaKila mtu abebe msalaba wake
Kitima na mikwara yote ile kumbe anakua chakari
Na nani?Hii imekanushwa
Askofu Makamu raisi wa TEC.Na nani?