CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Basi akilaumiwa huyo mama yenu mtulize mishonoKulaum na kupongeza ni hulka ya mwanadamu
Basi akilaumiwa huyo mama yenu mtulize mishonoKulaum na kupongeza ni hulka ya mwanadamu
Ahsante sana kwa ushauri wako mkuu 'Kimwakaleli', labda nikukumbushe tu kwamba sijaja humu leo au jana, na wala sina mpango wa kuondoka kesho Muumba wangu akijaalia. Kwa hiyo usiwe na shaka yoyote juu yangu.Usiwe mkali humu,utapata pressure Bure!Huku ni uwanja wa mambo ya jamii,huwezi Nyamaza Kimya!
Hiv Luca mwashabwa Anaishi wapKwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la kantini wakatoka watu wa wili ambao walikuwa wanakula katika eneo la kantini, wakaenda kumshambulia kwa vitu vizito ndani ya choo. Amesema Olengurumwa
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
View attachment 3322150
Yes, I am crazy/wacky😀 and u' r already suffering, ukiwa neutral, non partisan na si mfuasi wa dhehebu lolote la dini, unakuwa huru na amani, na huwezi hangaika na hizo perceived negative comments zinazokuudhi (illusions)Duh!
Sasa unadai nataka unifurahishe mimi, unayo akili timamu kweli?
Why should I suffer for an individual like yourself; are you nuts?
There's nothing like ,"being neutral or non partisan" when it involves issues of our nation. We have to be pro-Tanzania above all else. That is not being neutral or non partisan.Yes, I am crazy/wacky😀 and u' r already suffering, ukiwa neutral, non partisan na si mfuasi wa dhehebu lolote la dini, unakuwa huru na amani, na huwezi hangaika na hizo perceived negative comments zinazokuudhi
As individual I am a NATION, blabla zingine ni ziada, dini ni big scams, hizo dini so far, zimesababisha maafa kwa binadamu kuliko mema, I dont subscribe to any man made religion or political faction, am I too philosophical??There's nothing like ,"being neutral or non partisan" when it involves issues of our nation. We have to be pro-Tanzania above all else. That is not being neutral or non partisan.
Kuwa mfuasi wa dini has nothing to do with our common interest of ensuring the well being of our nation.
Tatizo lako, tokea nianze kukusoma humu, wewe unaendeshwa zaidi na dini juu ya kingine chochote; and tht's where we differ irevocably.
Never mind about "being philosophical", the only thing that matters is, your beliefs, your core values.As individual I am a NATION, blabla zingine ni ziada, dini ni big scams, hizo dini so far, zimesababisha maafa kwa binadamu kuliko mema, perhaps I am too philosophical??
Duh 🙄 !Laana ya kumuua Thadei Ole Mushi inakusumbua muda wote unawaza kuua tu
Naunga mkono hoja 100 💯 % ✅FUTENI VYAMA VYA SIASA BWANA TUMECHOKA NA HAYA MATUKIO YANINI KUISHI KWA WASIWASI HUKU TUKIAMINISHWA AMANI IPO? AU WANAOFANYIWA HVYO SIO WATANZANIA?
Wengi wao wanajiita tiss na wanavitambulisho kama kile cha sabayaHao ni Uvccm ndiyo wamefanya hilo shambulio hawawezi kuguswa wanamfurahisha Mzanzibari.
Ahhahahhaha unawapa hints hizo tayari wameshafuta hizo accountsza hao vijana kazi sanaa umefungua code...Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
Hukumu ni Kupigwa au kupelekwa Mahakamani ???! 😳 🤷♂️ !Waraka wa Did ni kwa Waislamu, Waraka wa TEC ni kwa Wakatoliki, Waraka wa Askofubagonza ni kwa projoforum. Kwa nini Fr Kitima awakudanye pamoja ili wazitafakari? Ili iweje? Yaani Waraka wa Iddi unawahusu nini Walokole kwa kuunganishwa na Padri Kitima kama siyo kutengeneza Axis of Evil wa Dini dhidi ya Serkali?
Not also for other forces too ???!!! 😳🤷♂️ ! Au ???! 🙄 !Politics for politicians...., sio vinginevyo
Sidhani kama sala za novena zinaweza kupukutisha waovu.Ili iweje! Dawa ni novena tu. Wapukutike wote waliohusika na hata waliosikia mpango huo wakanyamaza
Gentleman,umewafurahisha Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa
Vipi akilaumiwa Mh.Lissu na viongozi wetu CHADEMA?Basi akilaumiwa huyo mama yenu mtulize mishono
Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la kantini wakatoka watu wa wili ambao walikuwa wanakula katika eneo la kantini, wakaenda kumshambulia kwa vitu vizito ndani ya choo. Amesema Olengurumwa
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
View attachment 3322150