Olimpiki 2020 Japan (2021) tunajifunza nini

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Mimi ni mdau mkubwa wa michezo, napenda sana michezo...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitazama na kufatilia sana michezo ya olimpiki, kiukweli sio tu unaenjoy mchezo lakini pia unajifunza vitu vingi sanasana toka pale viwanjani, waandaaji, washiriki, wafanyabiashara, matangazo nk nk... Mara nyingi nimekua nikijuliza hivi kweli haiwezekani nasie tuje tupeleke wanamichezo angalau katika atleast aina ya michezo hata kumi tu hivi, maana aina ya michezo ni mingi, nafikiria kama michezo wa kuogelea nk, jana nimeangalia wee, leo since asbh nafatilia, yani Mi sidhani kama tukiwa serious hatuwezi kupeleka watu wa aina mbalimbali kule, TZ imebarikiwa maziwa, mito, bahari jamani si watu kupewa tu mbinu na kuwaleta ktk maswimming pools na kupelekwa nje mazoezini kwa kipindi flani jamani, Mi sikubali kama Watu hawawezi kufikia viwango.. Urushaji sijui matufe, kukimbia na vijiti nk yani watu wapo bwana,.jamani nini kifanyike, hata tukaweka target ya ten years from now watu wawe tayari si tunaweza jamani?! Wenyewe wameweza sie hatuwezi kushindwa... Mimi huwa sikubaliani na watu wenye kukata tamaa, tupush hili liwezekane jamani, mfano naona nchi nyingi za kiafrica this time round wanazidi kujitahidi kupeleka wana michezo wa aina mbalimbali, na sie tujiandae twende, why not us?!!
Kila Kitu kinawezekana...
 
Harafu siasa za ccm na chadema umwachie nani mkuu..

Vijana wengi wa kibongo wanapenda starehe ,,pombe na mademu tofauti na wenzetu

Kwa wenzetu ,Ngono na pombe sio priority ,mzungu anamuita dem out ,wanakula wanakunywa na kila mtu anarudi kwao bila kinyongo ...

Mbongo sasa beach tu anataka ampelekee moto huko huko beach[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…