Olimpiki Siku ya 4: Soka la Wanawake, Ujerumani 4-1 Zambia

Olimpiki Siku ya 4: Soka la Wanawake, Ujerumani 4-1 Zambia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1

Mpira Wa Miguu (Wanawake)
Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1

Handball
Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26

Mpira wa Mikono-Volley Ball (Wanawake)
Poland 3-1 Kenya

Mpira wa Kikapu (Wanaume)

Marekani 96-83 Sudani Kusini
Timu Mpira wa Mikono (Handball) ya Misri imetoka sare ya 26-26 dhidi ya Mabingwa Watetezi, Ufaransa. Ili kufika robo fainali ni lazima Misri ipate ushindi dhidi ya Norway, Agosti 2, 2024 na Argentina, Agosti 4, 2024

Katika Soka la Wanawake, Ujerumani imeibuka Bingwa dhidi ya Zambia kwa kushinda 4-2. Pia Japani imeipiga Nigeria 3-1

Mpira wa Kikapu (Wanaume)

Marekani imeibuka kidedea kwa kushinda Pointi 103-83 dhidi ya Sudani Kusini
 
Back
Top Bottom