Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
- Thread starter
- #21
Mrejesho wa ngozi, nimekuwa na ngozi laini, ila wakati naanza kupaka haya mafuta nilipata rushes usoni kama week mbil lakin sikujali nimeendelea kutumia baadaye ngozi ikazoea. Napaka mafuta hayo tu sichanganyi na mengine, mm sio mpenzi wa kujiremba napenda kuwa asilia, hivyo nikipaka mafuta yangu na lip balm yangu, nyuz nikichana natoka
Nateleza kabisa usoni.
Hata kwenye mapaja vile vipele vidogo vimeisha
Mrejesho wa nywele bado naendelea kutumia nitaleta pia matokeo yake
Nateleza kabisa usoni.
Hata kwenye mapaja vile vipele vidogo vimeisha
Mrejesho wa nywele bado naendelea kutumia nitaleta pia matokeo yake