Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Juni 30, 2025, Mjumbe wa kamati ya Uchumi na Fedha Ya Umoja wa Wazazi CCM Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Wazazi-Bara