Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry.
Anaonekana kama mchezaji anyedharauliwa zaidi hapa duniani na ninaona akienda kupata kuanzia magoli matatu (ili afikishe 52) Kombe hili la Dunia na kuwa mfungaji bora wa wakati wote wa ufaransa.