Wewe ambaye muda wote unashinda Jf kupost pumba kuna uwezekano mkubwa upo kwa shemeji kula kulala bila Kazi yeyote.Kesho uutumie kama kitafunwa hapo nyumbani kwa shemeji yako.
Na wewe umenionaje kuwa nipo kwa shemeji na na nakunywa chai kwake ?Kazi yako hapa jukwaani ni kufuatilia wanaume ?Umewezaje kuniona muda wote kama wewe haupo jf muda wote? Kazi yako hapa jukwaani ni kufuatilia wanaume?
Kilichomkwamisha huyu jamaa ni kupoteza nafasi nyingi. Unakuta anapata clear chance tano lakini anafunga moja ndio maana anachukuliwa poa.ni kweli giroud ni most undarated striker , ukicheki record zake kuanzia ngazi ya club to national team utakubaliana na wewe
Sasa nyie malumbano ya nini??Umewezaje kuniona muda wote kama wewe haupo jf muda wote? Kazi yako hapa jukwaani ni kufuatilia wanaume?