The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte jukumu la kwenda kudaka huku akifanya save matata na kuiongoza timu yake kupata ushindi wa bao 1 lililofungwa na pulisic dakika ya 87 na kukwea kileleni mwa serie A