I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Ufunguzi huo uliosheheni nakshi nashi za namna yake umepigwa vikali na vikundi vya watu wenye imani kali; wakiishutumu Ufaransa ambaye ndiye mwenyeji wa michezo hiyo mwaka huu kuwa maonyesho yalijaa viashiria vya kukashifu ukristo na ushetani mwingi.
Mfano maigizo yaliyoiga namna Yesu alivyokula mlo wake wa mwisho pamoja na wanafunzi wake. Ila namna ya UALFABET.
Na mfano mwingine ni farasi mwenye rangi ya kijivu akiwa amepandwa na aina fulani ya mtu au "death eater" kwa wasemavyo wao.
Hawajaishia hapo; waliweka mfano wa mstari katika biblia ukitafsiri picha hiyo kwa kutumia kitabu cha UFUNUO WA YOHANA 6:8
Ufunuo wa Yohana 6:8
[8]Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa hayawani wa nchi.
And I looked, and behold a pale horse: and his name that sat on him was Death, and Hell followed with him. And power was given unto them over the fourth part of the earth, to kill with sword, and with hunger, and with death, and with the beasts of the earth.