Olympic Marathon 2024-Wanawake

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Mtanzania Mashauri anatuwakilisha vyema muda huu...
 
Hiyo ni marathon ndugu, ni mapema hapo, kufikia mwisho unaweza kushangaa hata top 20 hayupo au hata kumaliza mbio asimalize. Tz tunaijua, na watanzania tunajuana.
 
Mwanadada anamaintain speed yake hadi sasa, natumaini atamaliza tatu bora.
 
Hiyo ni marathon ndugu, ni mapema hapo, kufikia mwisho unaweza kushangaa hata top 20 hayupo au hata kumaliza mbio asimalize. Tz tunaijua, na watanzania tunajuana.

Dah komenti hii imekomaa na kuiva vema, ni kweli 20 bora tumekosa
 
Maandalizi yawe ya uhakika vinginevyo ni kuangukia pua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…