Olympic Marathon 2024-Wanawake

Olympic Marathon 2024-Wanawake

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Mtanzania Mashauri anatuwakilisha vyema muda huu...
 
Hiyo ni marathon ndugu, ni mapema hapo, kufikia mwisho unaweza kushangaa hata top 20 hayupo au hata kumaliza mbio asimalize. Tz tunaijua, na watanzania tunajuana.
 
Mwanadada anamaintain speed yake hadi sasa, natumaini atamaliza tatu bora.
 
Hiyo ni marathon ndugu, ni mapema hapo, kufikia mwisho unaweza kushangaa hata top 20 hayupo au hata kumaliza mbio asimalize. Tz tunaijua, na watanzania tunajuana.

Dah komenti hii imekomaa na kuiva vema, ni kweli 20 bora tumekosa
 
Magdalena shauri kashika nasafi 40, Safian Hassan wa Holland kachukua gold 🏅
PXL_20240811_085256050.MP.jpg

Pumzi yetu imekata hapo...
 
Maandalizi yawe ya uhakika vinginevyo ni kuangukia pua tu
 
Back
Top Bottom