Kuna dada yetu anaitwa malaika mihambo anawakilisha germany kwenye long jumpOlympics ya mwaka huu nimeona Black Japanese...naona watu weusi hii sector ya michezo hatuna mpinzani..
Aibu ni Sisi Tu watanzania...hakuna hata Mtanzania wa nchi nyingine kweli?
Yaani kuna wakenya wanawakilisha Hadi nchi zingine..Sisi tuna watanzania watatu Tu? Hata mabondia wa kuwakilisha nchi za kiarabu hatuna???
Mshiriki mwenye asili ya kitanzania ninayemfuatilia huko tokyo. picha please
Huyu kuna fainali moja ya US open alimshinda Serena Williams.
Mie lazima nikaache mbegu huko Urusi mwanangu aje kuwa first black president Urusi.
Nakazia Picture Tahadhali π₯π£π£πππ€. picha please
Yule si wa kawaida.. ana kiwango cha hatari sana... Wale Brazil walikuwa wanakula bao la TANO lakini akavutwa na mvutaji akapewa straight red card.. Banda si mchezoMy favourite athlete in the tournament so far is Barbra Banda from Zambia,huyu dada anaupiga mwingi sana