The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Olympics ya mwaka huu nimeona Black Japanese...naona watu weusi hii sector ya michezo hatuna mpinzani..
Aibu ni Sisi Tu watanzania...hakuna hata Mtanzania wa nchi nyingine kweli?
Yaani kuna wakenya wanawakilisha Hadi nchi zingine..Sisi tuna watanzania watatu Tu? Hata mabondia wa kuwakilisha nchi za kiarabu hatuna???