Nmekuelewa japo mshauri aulize maana sio kosa kuuliza mshahara wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haezi kufkuzwa kazi akiuliza wanataka kumlipa sh ngapi?
Ila najiuliza tu , hawakumuuliza salary expectations? Pia hawajampa barua ya offer ili asaini ?? Anyway bongo tunanyonyana sana maana kuna kazi nmeona inatangazwa Facebook mtu awe na diploma ya umeme (ambayo ada ni zaidi ya milion 5 kwa miaka 3) lakini uko Facebook mshahara wanasema watampa laki Moja na nusu kazi ya kuuza vifaa vya umeme.
It's so [emoji22]