Olympic wakianzisha kipengele Cha Umbeya na Ujinga tutashinda medali za Kutosha

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!

Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea!

Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi kusonga,hapa Tanzania ndivyo rate ya Umbeya na Ujinga nayo inazidi kuongezeka!,wakati FILBERT SANKA BAYI anachukua medali mwaka 1974 rate ya Umbeya na Ujinga (Uchawa) ilikuwa ndogo,hivyo tusitegemee kuona medali ya aina yeyote katika kipindi ambacho rate ya Umbeya & Ujinga vikiwa juu kwenye kilelel.

NEVER.
 
Kwa umbea,majungu na porojo tunaongoza hatuna mpinzani
Ukiona watanzania watatu wamekaa lazima asemwe mtu hatuwezi kukaa kujadili mipango, ila ukiona wanigeria watatu wamekaa ni wanajadili hela hawanaga muda wa kujadili mtu
 
Angalia hawa wajinga 😀😀😀
 
Hata wangeanzisha mashindano ya WAKUSHINDWA bado tungeshika nafasi ya mwisho. Unajua kwanini?

Kwasababu sisi ni WAKUSHINDWA.
 
Back
Top Bottom