Olympiki - Target 2012 - Medali 20

Kuna Wakenya wengi sana ambao wanapata scholarships za riadha wakimaliza high school. Unakuta wanakuwa trained na vyuo vikuu au hata na makampuni makubwa waliyoajiriwa.

Nafikiri michezo kwenye mitaala ya shule (japo kwa shule maalum) ni muhimu katika kuendeleza vipaji.
 
I can't believe miaka miwili imepita tangu tuje na ndoto hii na hakuna lolote lenye kuonesha dalili kuwa tunajua kuna Olimpiki 2012 wakati wenzao hapa US na kwingine wameshaanza maandalizi.
 
Hadi hivi sasa hatujajiandaa wala kuanza maandalizi ya Olimpiki 2012! Miserable people...
 
Hadi hivi sasa hatujajiandaa wala kuanza maandalizi ya Olimpiki 2012! Miserable people...

Pole, mkuu!
Just take it easy.
Ukichukulia kila kitu seriously wakati viongozi wako hawapo serious.... utaishia kuumia rohoni.
 
maskini mwanakijijiiii.......tatizo lipo hapo mazee......
 
Niandike mpango mwingine sijui
 
MPANGO umeingia PANGONI.
 
Kenya na Algeria wamefanya vizuri sana!
 
Labda andika mpango wa CCM kuendelea kubaki madarakani kwa mabavu, huo utapokelewa kwa shangwe!
Watu huwa wanaombea tufanye vizuri. Hawajui kuwa kufanya vizuri ni matokeo ta maandalizi mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…