Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ili kupitishia wanyama hai watakaokuwa wanatokea Ngorongoto na Loliondo. kuelekea Oman kwa waarabu.​

Attachments

  • 1655440816576.png
    46.1 KB · Views: 8
Mkoa wa Pwani ni Mkoa muhimu sana kujengwa Uwanja wa ndege kwa sababu ndio Mkoa pekee Tanzania wenye viwanda Vingi zaidi, hivyo ni Mkoa wa kimkakati ktk kukuza uchumi wa nchi.
 
Mkoa wa Pwani ni Mkoa muhimu sana kujengwa Uwanja wa ndege kwa sababu ndio Mkoa pekee Tanzania wenye viwanda Vingi zaidi, hivyo ni Mkoa wa kimkakati ktk kukuza uchumi wa nchi.
Hii mada imeanzia wapi?
 
yetu macho!
 
Duh, kweli tunavipaumbele hasa!

Hii wanatujengea au wanajijengea wao watakaotumia maeneo hayo kwa shughuli zao?
Vipi Chato airport? Mbona hukulalamika kama ni kukosa vipaombele kipindi kile?
 
Uwanja wa KIA umekuwa ukitumika kutoroshea wanyama kwenda Oman. Chato kuna wanyama gani kutoroshea huko?
Wasipojenga hizo infrastructures utoroshaji hautafanyika? Si bora hata hiyo ahsante kidogo?! Kwa sababu wajenge wasijenge watatorosha tu so long higher authorities ya nchi yetu imeridhia.
 
Sisi ni watu wa kusaidiwa tu wakati tuna ardhi kubwa ya kumwaga, maliasili, madini nk - we can't do things on our own.
 
Jambo jema kabisa
 
Wewe oman haina mpango na wanyama wa tanzania,acha upumbavu
 
Duh! Hivi serikali yetu haina uwezo wa kifedha wa kufanya vitu vyote hivyo???
 
Duh, kweli tunavipaumbele hasa!

Hii wanatujengea au wanajijengea wao watakaotumia maeneo hayo kwa shughuli zao?
wanajijengea wenyewe hakuna mlalahoi atakayelala kwenye hiyo five star hata hayo maduka yatawasaidia wenyewe sisi tutaendelea kununua kwenye maduka tuliyoyazoea huko kitaa.
 
Wewe oman haina mpango na wanyama wa tanzania,acha upumbavu
 
Wakati mwingine napata shida kuelewa, kwani hawa wanaoenda kufanya kazi za uyaya huko Uarabuni huwa wanapelekwa kwa nguvu?
 
Uwanja wa KIA umekuwa ukitumika kutoroshea wanyama kwenda Oman. Chato kuna wanyama gani kutoroshea huko?
Kulianzishwa hifadhi kule ya Burigi-Chato labda ndio ulikuwa mwanzo wa mkakati wa kutorosha wanyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…