Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama mtabaki kuwaza mawazo mgando hivyo Basi mtatuweka miaka 100 kwa umasikini huu huu
Hata wao walisaini mikataba ya uhakika kwa mafuta yao tena sio wao tu ni waarabu wote wenye mafuta walijielewa pindi walipoijiwa na wazungu
Leo wanakula matunda ya mikataba iliyokuwa na masilaha na wananchi wao
Sisi unamwachia mtu biashara siku ya kwanza anaiba
Kama tutakuwa wakweli Sisi ni waoga ama ni udhalili wa kuwanyenyekea watu wa nje badala ya kuwa serious na maslahi yetu
Tunakubali kila kitu bila kuuliza why ?
Hivi unajengewa kitu au unapewa kitu hujiulizi kuna nini mbeleni
Tuchukulie maisha ya kawaida tu jirani kila leo anakuletea maini unacheka tu na kupokea kisa anakuzidi kipato kumbe anatafuna hapo
Maisha yote yanafanana iwe individuals au nchi kama nchi
Kama wanataka kitu wasaini kwa maslahi yetu Hakuna cha miaka 100
Hata wao walisaini mafuta na mzungu miaka 50 tu Ndio maana leo 100% ni yao baada ya mkataba kuisha juzi juzi tu
Wake up acheni kujioendekeza wakati nyie utajiri mnao ila wanyonge sana