Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

Kama mtabaki kuwaza mawazo mgando hivyo Basi mtatuweka miaka 100 kwa umasikini huu huu

Hata wao walisaini mikataba ya uhakika kwa mafuta yao tena sio wao tu ni waarabu wote wenye mafuta walijielewa pindi walipoijiwa na wazungu
Leo wanakula matunda ya mikataba iliyokuwa na masilaha na wananchi wao

Sisi unamwachia mtu biashara siku ya kwanza anaiba
Kama tutakuwa wakweli Sisi ni waoga ama ni udhalili wa kuwanyenyekea watu wa nje badala ya kuwa serious na maslahi yetu

Tunakubali kila kitu bila kuuliza why ?
Hivi unajengewa kitu au unapewa kitu hujiulizi kuna nini mbeleni

Tuchukulie maisha ya kawaida tu jirani kila leo anakuletea maini unacheka tu na kupokea kisa anakuzidi kipato kumbe anatafuna hapo

Maisha yote yanafanana iwe individuals au nchi kama nchi

Kama wanataka kitu wasaini kwa maslahi yetu Hakuna cha miaka 100
Hata wao walisaini mafuta na mzungu miaka 50 tu Ndio maana leo 100% ni yao baada ya mkataba kuisha juzi juzi tu

Wake up acheni kujioendekeza wakati nyie utajiri mnao ila wanyonge sana
 
Kulianzishwa hifadhi kule ya Burigi-Chato labda ndio ulikuwa mwanzo wa mkakati wa kutorosha wanyama!
Ukumbuke samia ni mwarabu , JPM ni mwafrika na wanyama wanapelekwa Uarabuni. Nani wa kupeleka wanyama uarabuni hapi?
 
CCM=chama cha majambazi
 
Hata sisi tulisaini mikataba na IPTL , Acasia na Richmond ukumbuke?
 
kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro hata mbunge wa jimbo la Hai anaweza kugharamia ujenzi huo. Why oman? Je ni gharama kiasi gani ambazo watanzania watashindwa?​

Ukumbuke samia ni mwarabu , JPM ni mwafrika na wanyama wanapelekwa Uarabuni. Nani wa kupeleka wanyama uarabuni hapi?
Nduu acha kuendeshwa na hisia..uarabu wa Samia uko wapi? wanyama gani waliopelekwa uarabuni na serikali imepiga marufuku usafirishaji wa wanyama.....tupunguze hisia!
 
Nduu acha kuendeshwa na hisia..uarabu wa Samia uko wapi? wanyama gani waliopelekwa uarabuni na serikali imepiga marufuku usafirishaji wa wanyama.....tupunguze hisia!
Mkataba wa huo wa ujenzi uwekwe hadharani kwa wabunge wa ccm . Utakuta ni Tsh 10 bilion sawa na dhamani ya jiwe moja la Tanzanite la kilo 5
 
dah hawa wanawake hawa....povu rukhsa
 
Nduu acha kuendeshwa na hisia..uarabu wa Samia uko wapi? wanyama gani waliopelekwa uarabuni na serikali imepiga marufuku usafirishaji wa wanyama.....tupunguze hisia!
hapo penye red bold....nimekudharau sana.
 
Mkataba wa huo wa ujenzi uwekwe hadharani kwa wabunge wa ccm . Utakuta ni Tsh 10 bilion sawa na dhamani ya jiwe moja la Tanzanite la kilo 5
Kwa hili ndugu Peno naungana nawe....mikataba mingi sana imekuwa siri, ila isiwekwe hadharani kwa wabunge wa CCM tu waweke hadharani kwa watanzania wote kujionea
 
hapo penye red bold....nimekudharau sana.
Asante kwa dharau...tuachane na hisia haya wewe thibitisha uarabu wa Samia...uko wapi huenda mimi ndio sioni na hilo wala sio tatizo, huenda ukifungua macho kwa uthibitisho wako nami nitaona!
 
Asante kwa dharau...tuachane na hisia haya wewe thibitisha uarabu wa Samia...uko wapi huenda mimi ndio sioni na hilo wala sio tatizo, huenda ukifungua macho kwa uthibitisho wako nami nitaona!
kwanza nithibitishie kuwa kikwete siyo mkwere. Ukiweza hilo ndipo nitakujibu.
 
Kwa hili ndugu Peno naungana nawe....mikataba mingi sana imekuwa siri, ila isiwekwe hadharani kwa wabunge wa CCM tu waweke hadharani kwa watanzania wote kujionea
Nimetaja Wabunge wa ccm mkuu kwa sababu Ndio waliteuliwa kwenda mjengoni .
Ukiwaambia neno wananchi watasema mikataba ni siri. Basi hiyo Siri waonyeshane wenyewe kwa wenyewe basi.
 
kwanza pinga kwamba kikwete siyo mkwere. Ukiweza hilo ndipo nitakujibu.
Hapana hili siwezi pinga kwa sababu kwa mujibu wa historia na CV yake Kikwete amezaliwa Msoga na Baba yake Mkwere na Mama yake Mwanaasha akitokea Bagamoyo!
 
Hapana hili siwezi pinga kwa sababu kwa mujibu wa historia na CV yake Kikwete amezaliwa Msoga na Baba yake Mkwere na Mama yake Mwanaasha akitokea Bagamoyo!
samia alipokutana na mjomba wake Oman, huyo mjomba wake ni mzaramo au kabila lako?.....mtu kama hujui, hutajua kuwa hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…