Waarabu bila wao kukubali israel isingeanzishwa 1948. Msikilize vizuri mwanahistoria:Oman aache kimbele mbele
Hii ngoma waicheze israhell wenyewe na shost zake
Waarabu wamekua wapuuzi wapuuzi sana mbwa hawa
Dah inasikitisha sana kwahakika [emoji1786][emoji1786][emoji1786]Waarabu bila wao kukubali israel isingeanzishwa 1948. Msikilize vizuri mwanahistoria:
View attachment 2845228
Hawana ujanja hao ndiyo wa mwanzo kusaini mkataba wa kulindwa na mazayuni. Historia mbona ipo wazi.Wao walitakiwa waongeze kasi sio kulala na kula tu wenzao wa Palestina wanakufa njaa.
Hawa watu hawapendani. Lakn wangekuwa wa upande wapili mataifa yote yangeungana EXP walivyofanya Afighanistan na IraqWaarabu bila wao kukubali israel isingeanzishwa 1948. Msikilize vizuri mwanahistoria:
View attachment 2845228
Sifa ya mwarabu ni mnafiki!Hawa watu hawapendani. Lakn wangekuwa wa upande wapili mataifa yote yangeungana EXP walivyofanya Afighanistan na Iraq
Hapo kwa waarabu usitegemee kitu ndugu yangu. Mapema tu kwa.siku ya leo Marekani ilisema itatoa taarifa.Wao walitakiwa waongeze kasi sio kulala na kula tu wenzao wa Palestina wanakufa njaa.
Dah [emoji45][emoji45][emoji45]Hapo kwa waarabu usitegemee kitu ndugu yangu. Mapema tu kwa.siku ya leo Marekani ilisema itatoa taarifa.
Na taarifa iliyotoka ni kwamba; Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, muungano wa kupambana na Yemen "Operation Prosperity Guardian" utakuwa sawa na Task Force 153.
Wajumbe wa Kikosi Kazi 153 ni
Marekani
Misri
Saudi Arabia
Umoja wa Falme za Kiarabu
Israeli
Ufaransa
Italia
Ujerumani
Uingereza
Uturuki
Jordan
Bahrain
Oman
Qatar
Na Imethibitishwa sasa Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain, Saudi Arabia na Jordan zinaisaidia Israel kukwepa kwa meli zake kuzunguka bara la Afrika kwa sababu ya Yemen katika Bahari Nyekundu.
Israel inaingiza bidhaa kupitia bandari za UAE na Bahrain
Yemen wamewajibu wapo tayari kupambana nao wote.Dah [emoji45][emoji45][emoji45]