Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Oman ni nchi peke ya Gulf inasimama na Palestine , ubaya wapo kwenye GCC ndio sababu kuna wakati wanakaa kimya.Oman aache kimbele mbele
Hii ngoma waicheze israhell wenyewe na shost zake
Waarabu wamekua wapuuzi wapuuzi sana mbwa hawa
Hi kali sana Oman lini alikuwa against Palestine au Yemen.Oman si mnafik tu kama vilemba wote wa Gulf hapo.
Dooh hii ya meli za leo sijaipata ila ya utayari niliipataYemen wamewajibu wapo tayari kupambana nao wote.
Imesema ipo tayari kupambana kwenye hiyo vita. Tena wenyewe wanasema vita adhimu ya kihistoria.
Na ukumbuke pia leo wameikamata meli ya Bulgaria na kulipuwa meli nyengine mbili.
Unataka tuishi kama Tupo sayari nyingine haya ni ya duniani na ndio wakati wetu tunashiriki japo kwa maoni tukiondoka watakuja wengine kusoma historia na kuendelea na mambo yao kwa wakati huoWADAU TAFUTENI HELA ACHENI SIASA MTAKUFA KWA KIHORO CHA VITA VYA WAARABU NA WAYAHUDI,,,,.NA MTAONDOKA DUNIANI MTAWAACHA WANAGOMBANA
TOKA MWAKA 1967 MPAKA LEO KAULI ZA WAARABU DHIDI YA WAYAHUDI TUMEZIZOEA ILA VITENDO ZERO
Na huu ndio ukweliDunia ilipofikia sasa hivi kutumia maguvu guvu siyo suluhisho.
Haya masuala inabidi yatatuliwe kwa maongezi.
Hapa Oman anatafuta solution kwa sababu ndio nchi peke ya Gulf wanaheshimiwa na Iran, Yemen, na America.Yemen ina uhuru wa kujiamulia mambo yake yenyewe. Wao waendelee kulamba matako ya wamarekani. Pumbavu
Kweli kabisa tatizo sio wananchi tatizo viongozi hizi nchi za kiarabu tungepata viongozi kama Sadam na huyo wa Al Houti Israel siku nyingi ingepotezwa.Viongozi wa Gulf States si watu wa kuaminika sana
Ila kitu ambacho Kiko wazi dhahiri shahiri ni kwamba mara nyingi misimamo yao dhidi ya Magharibi huwa haiwakilishi public opinion unaweza kuona hilo wakati Saddam/Asad/Gadhafi wanavamiwa
Leo hii lau wananchi wa Gulf States wanaambiwa waingie kwa miguu Gaza kwenda kuwasaidia ndugu zao kwa hali na mali ukombozi ungekwisha patikana Zamani
Kawaida Marekani ikitaka kupigana lazima aburuze watu wengine ionekane ni vita ya dunia nzima dhidi ya mpinzani wake.Pamoja na hivyo katika hiyo orodha wengi wamekataa kuingia.Hapo kwa waarabu usitegemee kitu ndugu yangu. Mapema tu kwa.siku ya leo Marekani ilisema itatoa taarifa.
Na taarifa iliyotoka ni kwamba; Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, muungano wa kupambana na Yemen "Operation Prosperity Guardian" utakuwa sawa na Task Force 153.
Wajumbe wa Kikosi Kazi 153 ni
Marekani
Misri
Saudi Arabia
Umoja wa Falme za Kiarabu
Israeli
Ufaransa
Italia
Ujerumani
Uingereza
Uturuki
Jordan
Bahrain
Oman
Qatar
Houth imewajibu ipo tayari kupigana hiyo vita ya kihistoria.
Na Imethibitishwa sasa Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain, Saudi Arabia na Jordan zinaisaidia Israel kukwepa kwa meli zake kuzunguka bara la Afrika kwa sababu ya Yemen katika Bahari Nyekundu.
Israel inaingiza bidhaa kupitia bandari za UAE na Bahrain